Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatakiwa kusitisha uporomokaji wa bei za Filamu Nchini - Wadau

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel aliyesimama akifungua Mkutano Baadhi ya wasambazaji wa Filamu nchini (hawapo pichani)kuhusu kuporomoka kwa bei ya filamu, wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini. Bi. Joyce Fissoo.Mkutano huo ulifanyika jana jijini Dar es Salaam
Na Genofeva Matemu – Maelezo
Serikali imewapongeza wasambazaji na wadau wa filamu nchini kwa mchango wao mkubwa katika kuelimisha,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAITAKA KAMPUNI YA STEPS KUSITISHA USHUSHWAJI WA BEI ZA FILAMU

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imepokea malalamiko kutoka kwa wasambazaji wa filamu kuhusu ushushwaji wa bei za filamu uliotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment. 
Wizara imeyashughulikia malalamiko hayo na kuona kuwa bei iliyotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment si halisi na itasababisha tasnia ya filamu kudharauliwa  na pia haina tija katika tasnia ya filamu. 
Wizara inaiagiza kampuni ya Steps Entertainment kusitisha kuanza kuuza filamu hizo kwa bei ya Tshs. 1000...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI

Naibu Katibu Idara ya Barabara ya CHAKUA, Gervas Rutaguzinda, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa CHAKUA, Hassan Mchanjama, akionyesha baadhi ya nyaraka walizowahi kuwaandikia SUMATRA.…

 

10 years ago

Michuzi

ZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO

WADAU wote wa Tasnia ya Filamu nchini,wanakumbushwa kuwa mwisho wa kupokea Filamu kwaajili ya Tamasha la Filamu la Nchi za Jahazi (ZIFF) ni Tarehe 31/01/2015 kwa waandaaji filamu wote wa ndani na nje ya nchi.
"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo". 
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester...

 

10 years ago

BBCSwahili

China yatakiwa kusitisha ujenzi baharini

Marekani imetaka kuwepo usitishwaji kwa ujenzi wa miradi kwenye maeneo yanayozozaniwa katika bahari ya kusini mwa China.

 

11 years ago

Michuzi

Wadau wa filamu nchini waaswa kuendelea kupeperusha bendera ya Tanzania Kimataifa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa filamu kuhusu mstakabali wa soko la filamu nchini leo jijini Dar es salaam. Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu nchini Bi Joyce Fisoo akieleza lengo la kikao cha wadau wa filamu ni pamoja na kujadili masuala ya maendeleo ya tasnia ya filamu nchini na mapendekezo ya wadau kuhusu bodi ya filamu kuitisha mjadala wa wazi wa wadau wa filamu hususani wasambazaji, waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani