ZIFF YAWAKUMBUSHA WADAU WA FILAMU NCHINI KUWASILISHA FILAMU ZAO
WADAU wote wa Tasnia ya Filamu nchini,wanakumbushwa kuwa mwisho wa kupokea Filamu kwaajili ya Tamasha la Filamu la Nchi za Jahazi (ZIFF) ni Tarehe 31/01/2015 kwa waandaaji filamu wote wa ndani na nje ya nchi.
"Kama wewe ni Mtanzania na unataka kuwasilisha filamu yako basi wasiliana na Ibra Mitawi +255 713 300997 au +255 783 300997 au mnaweza kutuma ofisini Zanzibar moja kwa moja, hatutapokea filamu yeyote baada ya tarehe hiyo".
Tunaomba pia mjaribu kuweka filamu ikiwa ndani ya DVD moja na si...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
MichuziWadau wa Filamu waipongeza Bodi ya Filamu Tanzania
11 years ago
MichuziShirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu yakutana na Viongozi wa Kampuni ya Steps kujadili Maendeleo ya Tansia ya Filamu Nchini.
10 years ago
MichuziSerikali yatakiwa kusitisha uporomokaji wa bei za Filamu Nchini - Wadau
Na Genofeva Matemu – Maelezo
Serikali imewapongeza wasambazaji na wadau wa filamu nchini kwa mchango wao mkubwa katika kuelimisha,...