Bodi ya Filamu yakutana na Viongozi wa Kampuni ya Steps kujadili Maendeleo ya Tansia ya Filamu Nchini.
Vijana,Utamaduni na Michezo Bw.Patrick Kipangula (kulia) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu na wadau kutoka Kampuni ya Steps Entertainment kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw.Sylvester Sengerema.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment Bw.Delish Solanki (kushoto) akizungumza na viongozi wa Bodi ya Filamu (hawapo katika picha) katika kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini Bw.Claude Nyalaba (kulia) na Bw.Carles Johns (katikati)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
MichuziWAJUMBE BODI YA FILAMU WATEMBELEA MIUNDOMBINU YA KAMPUNI YA UTENGENEZAJI FILAMU YA PROIN
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
Michuzi01 Jan