Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.

Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.


Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ZITTO KABWE, NINGETAZAMA UPYA NYENDO ZANGU

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe. Kwako Zitto Zuberi Kabwe.
Siku nyingi zimepita tangu tulipoonana mara ya mwisho, siku uliyokuja kutembelea chumba chetu cha habari. Natamani kukutana nawe tena ili nikufikishie ujumbe huu lakini kwa sababu ya ubize ulionao, nadhani itakuwa ngumu! Acha nikufikishie nilichotaka kukwambia kupitia ukurasa huu. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Septemba 24, 1976 huko Kigoma kama wewe. Wala...

 

9 years ago

StarTV

 Serikali kuangalia upya bei ya Sukari nchini

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amesema Serikali imejipanga kuhakikisha kunakuwepo na uwiano sawa kati ya bei ya sukari inayotokana na viwanda vya ndani na inayoagizwa nje ya nchi.

Waziri Mwijage amesema hilo linaweza kufanikiwa kwa kupunguza baadhi ya gharama za uzalishaji zisizo na tija kwa viwanda vya ndani.

Kiwanda cha sukari cha Kagera kilichopo katika wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera, moja ya kiwanda kinachotegemewa mno katika uzalishaji wa sukari hapa...

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi

Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.

Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.

Wadau hao akiwemo Mkurugenzi  wa taasisi ya kielimu ya THE...

 

10 years ago

Michuzi

MHE JOHN MNYIKA AMRITHI ZITTO KABWE CHADEMA

DK SLAA,SALUM MWALIM PAMOJA NA JOHN MNYIKA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo usiku huu umefikia tamati kwa kamati kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wamwisho ambao ni KATIBU MKUU ,NAIBU KATIBU MKUU BARA pamoja na NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

MATOKEOKATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKANAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIMViongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu...

 

10 years ago

Vijimambo

HUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAWATUNUKIA TUZO DR MENGI.MILLAR AYO,SHERIA NGOWI , DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIAMlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg David...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiongea na wanahabari hivi sasa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Wengine ni viongozi wa juu wa chama cha ACT alikohamia rasmi jana.Habari zaidi zitakuja muda si mrefu ujao

 

10 years ago

Michuzi

MHE ZITTO KABWE ATWAA Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jami

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)Mhe.  Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba 30 na 31 mwaka huu katika mji wa Livingstone nchini Zambia. “Tuzo hii imetolewa kwako kwa kuzingatia...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Mama Mzazi wa Mhe Zitto Kabwe Afariki dunia

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani