Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE ZITTO KABWE ATWAA Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jami

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)Mhe.  Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba 30 na 31 mwaka huu katika mji wa Livingstone nchini Zambia. “Tuzo hii imetolewa kwako kwa kuzingatia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ATWAA TUZO YA MTETEZI WA HAKI YA HIFADHI YA JAMII

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe (kulia), akizungumza na mmoja wa wakulima wa kahawa wilayani Kigoma Vijijini katika mojawapo ya ziara zake za kuhamasisha kilimo na kuhimiza wakulima kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni...

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), ilieleza mbunge huyo aliibuka mshindi.

Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba...

 

10 years ago

Michuzi

MHE JOHN MNYIKA AMRITHI ZITTO KABWE CHADEMA

DK SLAA,SALUM MWALIM PAMOJA NA JOHN MNYIKA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo usiku huu umefikia tamati kwa kamati kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wamwisho ambao ni KATIBU MKUU ,NAIBU KATIBU MKUU BARA pamoja na NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

MATOKEOKATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKANAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIMViongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Mama Mzazi wa Mhe Zitto Kabwe Afariki dunia

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

 

10 years ago

Michuzi

Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiongea na wanahabari hivi sasa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Wengine ni viongozi wa juu wa chama cha ACT alikohamia rasmi jana.Habari zaidi zitakuja muda si mrefu ujao

 

10 years ago

Michuzi

Breaking newzzzz: Mhe Zitto Zuberi Kabwe aaga rasmi Bunge usiku huu dodoma

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) usiku huu ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Mhe. Kabwe ametangaza kung'atuka nafasi hiyo baada ya Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa Hassan Zungu Kumruhusu kutoa kauli binafsi mara baada ya wabunge kumaliza kupitia vifungu vya sheria ya Maafa ambayo hata hivyo haikupitishwa kwa kutotimia akidi ya wabunge ambao nusu yao hawakuwepo ukumbini.Mhe Zungu alimtakia kila la heri Mbunge huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Feb 5, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Kamishina Mstaafu wa TRA, Harry Kitilya, wakati walipokutana baada ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, uliofanyika kwenye Hoteli ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

UDSM yawatunukia tuzo Dr. Mengi, Millard Ayo, Sheria Ngowi, Diamond Platinumz na Zitto Kabwe

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) Ndg. Docta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA. Mlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg...

 

10 years ago

Michuzi

msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO

http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
ama jiunge na aitv mobile uone live!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani