UDSM yawatunukia tuzo Dr. Mengi, Millard Ayo, Sheria Ngowi, Diamond Platinumz na Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) Ndg. Docta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6 hapa chuoni UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA.
Mlezi wa chama cha wanafunzi wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUDSM YAWATUNUKIA TUZO DR. MENGI, MILLARD AYO, SHERIA NGOWI, DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE
10 years ago
VijimamboHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAWATUNUKIA TUZO DR MENGI.MILLAR AYO,SHERIA NGOWI , DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE
10 years ago
Bongo502 Jun
Nick wa Pili, Millard Ayo, Irene Kiwia na wengine kuwa wazungumzaji kwenye kongamano la masomo UDSM, June 6
11 years ago
GPL
MZEE MAJUTO, LULU, MILLARD AYO WANG’ARA TUZO ZA WATU
10 years ago
GPLWASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
10 years ago
Vijimambo20 Apr
Alichokisema ZITTO KABWE Juu ya kumchongea MENGI anataka kuvunja Serikali ya KIKWETE

Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa Mwanahalisi online. Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke. Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
DIAMOND,Ngowi ndani ya Tuzo za TFAA
NA CHRISTOPHER MSEKENA
BAADA A ya kutwaa tuzo tatu za AFRIMA wikiendi iliyopita, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na Patrick Ngowi wametajwa kuwania Tuzo za The Future Awards Africa (TFAA) zinazohusu vijana wenye umri kuanzia 18-31 waliofanya vizuri kwenye nyanja tofauti.
Katika tuzo hizo Diamond ameingia kama msanii wa muziki aliyefanya vizuri kwa mwaka huu na Patrick Ngowi ameingia kwenye tuzo hizo kama mjasiriamali wa masuala ya nishati ya jua.
Wabongo hao wanaungana na nyota...
11 years ago
Dewji Blog08 Jun
Sheria Ngowi Brand Proudly official designer of Diamond @MTV MAMA
Diamond Platinumz and Wema Sepetu.
Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more.
You are really flying or Tanzanian flag globally and yet paved the way for international attention indeed.
Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work.
Deogracious Kessy- Head of Marketing
#Sheria Ngowi Brand#
10 years ago
GPL10 Jan