Alichokisema ZITTO KABWE Juu ya kumchongea MENGI anataka kuvunja Serikali ya KIKWETE
Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa Mwanahalisi online. Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke. Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3XKn0FD80-w/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
UDSM yawatunukia tuzo Dr. Mengi, Millard Ayo, Sheria Ngowi, Diamond Platinumz na Zitto Kabwe
11 years ago
GPL24 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-s5UAZZu97Bw/VIP0o6RWVhI/AAAAAAAG1uY/im10bdKrtgY/s72-c/121763be872e1c66f1283b5ade15117c.jpeg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JF5JzD-Wz3Q/U6ANCqi4ZDI/AAAAAAAFrL8/gKzcj3p8tc0/s72-c/zitto.jpg)
11 years ago
Zitto Kabwe, MB17 Jun
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015
Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB19 Mar
VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3509&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)