Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INTERVIEW YA MH ZITTO KABWE JUU YA MUSTAKABALI WA SOKA LA BONGO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Alichokisema ZITTO KABWE Juu ya kumchongea MENGI anataka kuvunja Serikali ya KIKWETE



Katika gazeti la Taifa Imara la tarehe 23 Machi 2015 kulikuwa na habari yenye kichwa cha maneno ' Zitto amchongea Mengi kwa JK?' Habari hiyo ilibeba maudhui ya 'post' iliyoandikwa katika mtandao wa Mwanahalisi online. Habari hiyo inaonyesha kuwa Mimi nilikutana na Rais kwa msaada wa watu mbalimbali na katika kikao hicho inadaiwa nilisema kuwa Mengi ndiye aliyechochea wabunge kuishughikia Serikali ya Rais Kikwete ili ianguke. Ni vema ifahamike kuwa gazeti la Taifa Imara linamilikiwa na Bwana...

 

10 years ago

IPPmedia

I'm still MP, declares Zitto Kabwe


IPPmedia
I'm still MP, declares Zitto Kabwe
IPPmedia
Kigoma North MP Zitto Kabwe, who was as of yesterday stripped of party membership by Chadema's Central Committee (CCC) told reporters in Dar es Salaam yesterday that he is also still chairperson of the Public Accounts Committee (PAC). “As you can see ...
Bunge Speaker to determine Zitto's fateDaily News
Zitto Loses Court Battle, Axed From ChademaAllAfrica.com

all 9

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nakuhurumia Zitto Kabwe

Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisoma makala hii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. Wakati huo Mwigamba alikuwa na mtazamo huu kuhusu Zitto. Lakini ni Mwigamba huyo...

 

11 years ago

GPL

MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha usaliti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu amshukia Zitto Kabwe

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa watu wanaosema kwamba maamuzi ya Kamati Kuu ya chama hicho kuwavua nafasi za uongozi makada wake watatu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama Zitto Kabwe afariki

BUNGE Maalum la Katiba limepata pigo baada ya kuondokewa na mjumbe wake, Shida Salum (64), ambaye ameugua kwa muda mrefu. Shida ambaye pia ni mama mzazi wa mbunge wa Kigoma...

 

9 years ago

Dewji Blog

Happy Birthday Zitto Kabwe!

zitozuberikabwe

Hey there! Sending birthday wishes your way for a beautiful year ahead. May your lucky stars continue to shine and make all of your dreams come true. Enjoy your day with all of the pleasures it has in store…….HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR FRIEND ZITTO KABWE!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani