Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


serikali yafafanua juu ya mustakabali wa maafisa a wizara ya maliasili na utalii


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, TAMISEMI NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA NA MUUNGANO KUANZISHA PROGRAMU YA PAMOJA WA UPANDAJI MITI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akizungumza kwenye kikao cha pamoja kati yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Januari Makamba (kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii  Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuipa majukumu Kamati Maalum ya Wataalam ya kutengeneza andiko maalum litakalotumika kuandaa Programu ya pamoja ya kitaifa ya upandaji miti nchi nzima kuanzia mijini...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yafafanua kuhusu wakurugenzi Maliasili

SERIKALI imesema Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Matumizi Endelevu ya Wanyamapori, Profesa Jafari Kideghesho, hawajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Katika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye  kichwa cha habari;
   KASHFA IKULU;
·    Nyalandu atumia Leseni ya Rais kuua wanyamapori 704 bure,
·    Watakaouawa wamo pia tembo 8, chui 8, Simba 8, ndege,
·    Wauaji ni Wamarekani marafiki wa Waziri wa Maliasili.
I.   
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuwafahamisha Umma kuwa, tuhuma hizi si za kweli. Tuhuma hizi zimetolewa na watu wenye nia ovu  na...

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAONYA UVAMIZI USHOROBA WA WANYAMA


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Staslaus Kanyasu  akiwa pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama wilaya ya Babati, pamoja na mkurugenzi wa hoteli za chemchem Nicolaus Negri walipotembea   eneo la hifadhi ya Jamii ya Burunge, wilayani Babati mkoa wa Manyara, ambalo linakabiliwa na tatizo la uvamizi.



Mkurugenzi wa hoteli za Chemchem wilayani Babati mkoa wa Manyara,, Nicolaus Negri akiwa na  Naibu waziri wa Maliasili na Utalii, Staslaus Kanyasu, akielezea tatizo  la uvamizi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani