ZITTO KABWE ATWAA TUZO YA MTETEZI WA HAKI YA HIFADHI YA JAMII
![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN4cL7M6kQiGqeY8HmijUtF0zK2OfIVPJUHTQsObxG9vYUSof6A9kYyGnv9yhGTpmiQJW2URO1KO8ZfJDiROASM4/ZITTO.jpg?width=450)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe (kulia), akizungumza na mmoja wa wakulima wa kahawa wilayani Kigoma Vijijini katika mojawapo ya ziara zake za kuhamasisha kilimo na kuhimiza wakulima kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wGthRdy6_DA/VDEO4axm0cI/AAAAAAAGoBI/bH4FsqD-2tI/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
MHE ZITTO KABWE ATWAA Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jami
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii
![Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Zitto-Kabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), ilieleza mbunge huyo aliibuka mshindi.
Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba...
10 years ago
Habarileo06 Oct
Zitto ang’ara hifadhi ya jamii Afrika
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.
9 years ago
Michuzi23 Sep
NI HAKI YAKO KULIPWA HELA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII UNAPOFUKUZWA KAZI.
Na Bashir Yakub
Hela ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni hela ambayo mwajiriwa hukatwa kiasi kadhaa katika mshahara wake na mwajiri hutoa kiasi kadhaa na kuhifadhiwa katika mfuko uitwao mfuko wa hifadhi ya jamii. Mfuko wa hifadhi ya jamiii ni kama NSSF, PSPF, LAPF, GEPF n.k. Hii ndio mifuko ya hifadhi ya jamii. Ipo mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo huhudumia mashirika ya umma na ipo mingine ambayo huhudumia mashirika binafsi,...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0-FasT8tRIs/U7U8Y3H-CCI/AAAAAAABBqY/C6_vj47zKw8/s72-c/Tuzo.jpg)
NSSF YABEBA TUZO YA HUDUMA BORA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-0-FasT8tRIs/U7U8Y3H-CCI/AAAAAAABBqY/C6_vj47zKw8/s1600/Tuzo.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-K8X9c9D0o2s/U7U1jy3RDnI/AAAAAAABBpw/_l4bRGfKu00/s1600/t2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Jun
UDSM yawatunukia tuzo Dr. Mengi, Millard Ayo, Sheria Ngowi, Diamond Platinumz na Zitto Kabwe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1L12qwMhnC0/VHXp0Tttg4I/AAAAAAAGzl0/i-V29PQf4zU/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO
![](http://3.bp.blogspot.com/-1L12qwMhnC0/VHXp0Tttg4I/AAAAAAAGzl0/i-V29PQf4zU/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
ama jiunge na aitv mobile uone live!
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s72-c/b1.jpg)
PPS YAIBUKA KIDEDEA UTUNZAJI WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s640/b1.jpg)
Na Khalfan Said/ K-Vis Media
MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba...
10 years ago
MichuziNHIF Yanyakuwa Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika
Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria.
Tuzo ambazo NHIF ilikabidhiwa ni katika eneo la utoaji wa huduma za...