Zitto ang’ara hifadhi ya jamii Afrika
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Uhuru Kenyatta ang’ara Afrika
![Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Uhuru-Kenyatta.jpg)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
WASHINGTON, Marekani
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewapiku marais wenzake wa Afrika Mashariki kwa kushika nafasi ya kwanza kwa ufanisi wa kazi, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la Gallup la nchini Marekani.
Utafiti huo ulitolewa jana ambapo licha ya Rais Kenyatta kuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja ameweza kuwapiku wenzake waliodumu madarakani kwa muda mrefu.
Pamoja na Rais Jakaya Kikwete, kuingoza nchi kwa mwaka wa tisa sasa utafiti huo umeshindwa...
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mo Dewji ang’ara tuzo wafanyabiashara Afrika
BILIONEA anayemiliki kampuni kubwa ya Mohammed Enterprises nchini (MeTL), Mohammed Dewji ‘Mo’ ameshinda Tuzo ya Mfanyabiashara wa Mwaka anayejitoa zaidi kuisaidia jamii kunufaika, kutokana na biashara zake, akiwa mshindi wa Afrika, Kanda ya nchi za Afrika Mashariki katika tuzo zilizofanyika juzi jijini Nairobi, Kenya.
10 years ago
Mtanzania06 Oct
Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii
![Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Zitto-Kabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), ilieleza mbunge huyo aliibuka mshindi.
Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN4cL7M6kQiGqeY8HmijUtF0zK2OfIVPJUHTQsObxG9vYUSof6A9kYyGnv9yhGTpmiQJW2URO1KO8ZfJDiROASM4/ZITTO.jpg?width=450)
ZITTO KABWE ATWAA TUZO YA MTETEZI WA HAKI YA HIFADHI YA JAMII
10 years ago
MichuziECASSA YAIKUTANISHA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
10 years ago
MichuziNHIF Yanyakuwa Tuzo tatu za Ubunifu katika Hifadhi ya Jamii Barani Afrika
Halfa ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika Jijini Casablanca nchini Morocco usiku wa tarehe 3 Desemba, 2014 katika hoteli ya Serana jijini Casablanca ambapo washiriki zaidi ya 360 kutoka taasisi 75 katika mataifa 45 ya Afrika zilihudhuria.
Tuzo ambazo NHIF ilikabidhiwa ni katika eneo la utoaji wa huduma za...
10 years ago
Michuzi16 Dec
NHIF YAZUNGUMZIA TUZO TATU ZA UBUNIFU BARANI AFRIKA ZILIZOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA TAASISI ZA HIFADHI YA JAMII (ISSA)
![1Bima ya Afyaaa](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/1Bima-ya-Afyaaa.jpg)
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Samata ang’ara, Al Ahly chali
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Janet Mbene ang’ara Songwe
Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Malangali.
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa Songwe, Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene.
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya...