Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PPS YAIBUKA KIDEDEA UTUNZAJI WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA HIFADHI YA JAMII



Na Khalfan Said/ K-Vis Media 
MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII


Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...

 

10 years ago

Vijimambo

CRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI

 Naibu waziri wa fedha Adam Malima akimkabidhi meneja wa fedha wa benki ya CRDB Sosteness Biseko  tuzo  ya NBAA ya ushindi  katika  uandaaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2013-2014,jumla ya benki tisa zilishiriki ambapo Benki ya CRDB iliibuka mshindi wa kwanza katika kundi la mabenki, hafla hiyo ilifanyika juzi katika hotel ya Mount Meru jijini Arusha
*********
Mashirika binafsi ,taasisi na idara mbalimbali za serikali zimehimizwa   kushiriki katika mashindano ya tuzo zinazotolewa na bodi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Filamu ya Tanzania ‘Dogo Masai’ yaibuka kidedea tuzo za Marekani

1388978_981417838583880_2039616900_n

Wakati ambapo kiwanda cha filamu Tanzania kinaendelea kudoda, kuna habari njema kutoka wa filamu ya ‘Dogo Masai.’ Filamu hiyo ya Kitanzania imeshinda tuzo tatu.

1388978_981417838583880_2039616900_n

Hii ni taarifa zaidi:

Ninaitwa Timoth Conrad Kachumia Director, Producer na Writer wa filamu Tanzania. Ninayofuraha kuwajulisha watanzania kuwa nimefanikiwa kushinda California Viewers Choice Awards 2015, tuzo 2 ikiwa ni Best Feature Film pamoja na Best Director kupitia filamu ya DOGO MASAI, vile vile kutoka katika filamu hiyo hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

CBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

 Baadhi ya wafanyakaz wa CBA Tanzania na Mkombozi wakishangilia uhamasisha timu zao uwanjaniMkurugenzi wa CBA Tanzana Julius Mcharo akibadilishana mawazo na Meneka Masoko wa Benki ya Mkombozi grace Mboya wakati wa  mechi ya fainali baina ya timu iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Karume ambapo CBA imenyakua ubingwa
 Mkurugenzi wa CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wachezaji baada ya kumalizika mchezo huo
 Wacheaji wa CBA Tanzania na Mkombozi wakiwa wamejipanga kukaguliwa...

 

10 years ago

Michuzi

CBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Inbox x

 Wacheji wakionyeshana ubae uwanjani.
 Wacheaji wa CBA Tanzania na Mkombozi wakiwa wamejipanga kukaguliwa kabla ya mchezo kuanza.  Baadhi ya wafanyakaz wa CBA Tanzania na Mkombozi wakishangilia uhamasisha timu zao uwanjaniMkurugenzi wa CBA Tanzana Julius Mcharo akibadilishana mawazo na Meneka Masoko wa Benki ya Mkombozi grace Mboya wakati wa  mechi ya fainali baina ya timu iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Karume ambapo CBA imenyakua ubingwa
 Mkurugenzi wa CBA Tanzania Julius...

 

10 years ago

Vijimambo

ACACIA YATWAA TUZO YA JUMLA YA RAIS YA KUSAIDIA JAMII MWAKA 2014

Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wapili kulia), akimkabidhi tuzo, Makamu wa Rais wa kampuni ya Acacia, (Anayeshughulikia kampuni), Deo Mwanyika, baada ya mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni hiyo, kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka 2014 wa tuzo ya Rais ya makampuni ya uchimbaji madini, yanavyotekeleza wajibu wa kampuni katika kusaidia jamii (CSRE). Hafla ya kutoa tuzo hizo ilikwenda sambamba na uzinduzi wa muongozo mpya wa makampuni hayo katika kutekeleza CSRE....

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto atwaa tuzo utetezi haki hifadhi ya jamii

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kwa kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA), ilieleza mbunge huyo aliibuka mshindi.

Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YABEBA TUZO YA HUDUMA BORA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Makamu wa Pili wa Raisi, Balozi Seif Idd, akimkabidhi tuzo ya ushindi wa  kwanza katika sekta ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), katika Vinwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mh. Balozi Ally Seif akipata ufafanuzi kutoka kwa  Meneja Miradi Mhandisi John Msemo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kuhusu Mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani