Filamu ya Tanzania ‘Dogo Masai’ yaibuka kidedea tuzo za Marekani
Wakati ambapo kiwanda cha filamu Tanzania kinaendelea kudoda, kuna habari njema kutoka wa filamu ya ‘Dogo Masai.’ Filamu hiyo ya Kitanzania imeshinda tuzo tatu.
Hii ni taarifa zaidi:
Ninaitwa Timoth Conrad Kachumia Director, Producer na Writer wa filamu Tanzania. Ninayofuraha kuwajulisha watanzania kuwa nimefanikiwa kushinda California Viewers Choice Awards 2015, tuzo 2 ikiwa ni Best Feature Film pamoja na Best Director kupitia filamu ya DOGO MASAI, vile vile kutoka katika filamu hiyo hiyo...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1J3ekpyUxOI/VEU1m9ZqKJI/AAAAAAAGsDs/0YwnjquELZI/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
FILAMU YA DOGO MASAI YASHINDA TUZO MAREKANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1J3ekpyUxOI/VEU1m9ZqKJI/AAAAAAAGsDs/0YwnjquELZI/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
FILAMU ya kitanzania ya Dogo Masai iliyotengenezwa na kuongozwa na muongozaji Timoth Conrad ‘Tico’ imeibuka kidedea baada ya kushinda katika tuzo za Silcon Valley African Film Festival (SVAFF) kama Filamu Bora kutengenezwa Afrika (The best African Production Movie ) tuzo hizi zimetolewa California Marekani.
Mtayarishaji wa filamu hiyo Timoth kupitia kampuni yake ya Timamu African Media amesema ushindi huo ni wa Tanzania ndio maana hata kama hakupewa Support na taasisi...
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
Pamoja na wengi kuamini kuwa ubora wa filamu za Tanzania ni mdogo, wapo vijana wanaofanya filamu tofauti zinazowashangaza hadi wataalam wa industry hiyo nchini Marekani. Timoth Conrad akiwa na tuzo aliyoshinda hivi karibuni nchini Marekani Mmoja wa vijana hao ni Timoth Conrad Kachumia ambaye mwezi huu alishinda tuzo kwenye tamasha la Silicon Valley African Film […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RU-BxEuC-r5L49t1VgougKPalqMvqcRhN9mocdYJa4EkUFsm57mrH1Z8sarzMH5jz8AJmtylo3kEuxVFeUY-pN-1jCQToN6c/IMG20151101WA0008.jpg?width=650)
KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI
Dickson Mkama. KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter. Tuzo aliyoshinda Mkama. Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31,...
10 years ago
VijimamboCRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI
*********
Mashirika binafsi ,taasisi na idara mbalimbali za serikali zimehimizwa kushiriki katika mashindano ya tuzo zinazotolewa na bodi ya...
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s72-c/b1.jpg)
PPS YAIBUKA KIDEDEA UTUNZAJI WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA HIFADHI YA JAMII
![](http://3.bp.blogspot.com/-F-fdTyZc12Y/VmPzRymcCDI/AAAAAAAAdGc/2c2F2Y1z2Pc/s640/b1.jpg)
Na Khalfan Said/ K-Vis Media
MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba...
9 years ago
Bongo528 Oct
Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani
Muongozaji wa filamu wa Tanzania, Timoth Conrad ametajwa kuwania tuzo za Marekani, California Online Viewers Choice Awards. Pia filamu yake Dogo Masai imechaguliwa kuwania tuzo hizo zitakazofanyika jijini Los Angeles. “Nimechaguliwa kuwania tuzo ya BEST DIRECTOR na pia filamu ya Dogo Masai inawania BEST FEATURE FILM,” ameandika kwenye Facebook. “Ninaomba sapoti yenu katika kunipigia. Unaweza […]
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania