Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake
Pamoja na wengi kuamini kuwa ubora wa filamu za Tanzania ni mdogo, wapo vijana wanaofanya filamu tofauti zinazowashangaza hadi wataalam wa industry hiyo nchini Marekani. Timoth Conrad akiwa na tuzo aliyoshinda hivi karibuni nchini Marekani Mmoja wa vijana hao ni Timoth Conrad Kachumia ambaye mwezi huu alishinda tuzo kwenye tamasha la Silicon Valley African Film […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Oct
Muongozaji wa filamu wa Tanzania atajwa kuwania tuzo za Marekani
10 years ago
VijimamboKAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA
10 years ago
MichuziKamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Filamu zitakazochuana Tuzo ya Filamu Tanzania zatajwa
WAANDAAJI wa shindano la Tuzo za Filamu Tanzania lililopewa jina la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 wamezitaja filamu zitakazopigiwa kura na watazamaji kupitia kipindi cha Action & Cut...
9 years ago
Bongo507 Dec
Filamu ya Tanzania ‘Dogo Masai’ yaibuka kidedea tuzo za Marekani
Wakati ambapo kiwanda cha filamu Tanzania kinaendelea kudoda, kuna habari njema kutoka wa filamu ya ‘Dogo Masai.’ Filamu hiyo ya Kitanzania imeshinda tuzo tatu.
Hii ni taarifa zaidi:
Ninaitwa Timoth Conrad Kachumia Director, Producer na Writer wa filamu Tanzania. Ninayofuraha kuwajulisha watanzania kuwa nimefanikiwa kushinda California Viewers Choice Awards 2015, tuzo 2 ikiwa ni Best Feature Film pamoja na Best Director kupitia filamu ya DOGO MASAI, vile vile kutoka katika filamu hiyo hiyo...
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI ZA FILAMU.
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU TANZANIA WASITISHA KUKUNUNUA STIKA ZA TRA NA KUPELEKA FILAMU ZAO BODI YA FILAMU KWAAJILI YA KUFANYIWA UKAGUZI
10 years ago
MichuziBodi ya Filamu Nchini yatoa wito kwa wamiliki wa Filamu kuweza kuwasilisha Filamu.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu , Joyce Fisoo ametoa wito kwa kampuni za Filamu nchini kuwasilisha filamu zao ili ziweze kuhakikiwa na kulipiwa kwa kupata kibali cha kuingia sokoni kama sheria ya filamu ya mwaka 1976 kifungu namba 4 inavyoeleza.
Akizungumza katika ofisi za Bodi leo jijini Dar es Salaam, Fisoo ameipongeza kampuni ya Al-Riyamy Production ambayo imeweza kutimiza wajibu wake na kulipia filamu 134 ambazo zimepata kibali cha kupatiwa stamp za TRA...
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Waandaaji wa Tuzo za filamu nchini washauriwa kuzingatia viwango na ubora wa kazi za wasanii
Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) akiwa katika kikao cha majadiliano na kamati ya Maandalizi ya Nyumbani Kiswahili Film Awards yaliyofanyika hivi karibuni ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Nyumbani Kiswahili Film Awards Bw. Fadhil Francis Mfate akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya Tuzo hizo yaliyofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...