Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE JOHN MNYIKA AMRITHI ZITTO KABWE CHADEMA

DK SLAA,SALUM MWALIM PAMOJA NA JOHN MNYIKA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo usiku huu umefikia tamati kwa kamati kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wamwisho ambao ni KATIBU MKUU ,NAIBU KATIBU MKUU BARA pamoja na NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR

MATOKEOKATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKANAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIMViongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mnyika amrithi Zitto Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua tena Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani kwa sasa nchini. Hii ina maana kwamba Dk Slaa mwenye umri wa miaka 65, atashika wadhifa huo hadi mwaka 2019. Alianza kushika nafasi hiyo mwaka 2002, akitoka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1998.

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Mama Mzazi wa Mhe Zitto Kabwe Afariki dunia

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

 

10 years ago

Michuzi

MHE ZITTO KABWE ATWAA Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jami

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)Mhe.  Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa kufanyika Oktoba 30 na 31 mwaka huu katika mji wa Livingstone nchini Zambia. “Tuzo hii imetolewa kwako kwa kuzingatia...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo

Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiongea na wanahabari hivi sasa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Wengine ni viongozi wa juu wa chama cha ACT alikohamia rasmi jana.Habari zaidi zitakuja muda si mrefu ujao

 

11 years ago

GPL

MASKINI ZITTO KABWE CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake katika chama hicho. Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha usaliti...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe njiapanda, Chadema wamfukuza

>Hali ya kisiasa ya mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe imewekwa njiapanda baada ya Chadema kutangaza kumvua uanachama saa chache baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyofungua dhidi ya chama hicho kikuu cha upinzani.

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani