Mnyika amrithi Zitto Chadema
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua tena Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani kwa sasa nchini. Hii ina maana kwamba Dk Slaa mwenye umri wa miaka 65, atashika wadhifa huo hadi mwaka 2019. Alianza kushika nafasi hiyo mwaka 2002, akitoka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1998.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi16 Sep
MHE JOHN MNYIKA AMRITHI ZITTO KABWE CHADEMA
MATOKEOKATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKANAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIMViongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu...
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Mnyika achukua mikoba ya Zitto
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Mnyika: Wasaliti hawaponi CHADEMA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kitaendelea kutimua wasaliti na kutaka wananchi kuendelea kuwaunga mkono kwenye Operesheni ‘M4C Pamoja Daima’. Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, alitoa kauli hiyo jana...
11 years ago
Habarileo30 Jan
Slaa, Mnyika wamkataa Diwani wa Chadema
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa na Katibu Mwenezi wake, John Mnyika wamemkataa diwani wa chama hicho wa Kata ya Majengo mjini Kahama Mkoa wa Shinyanga, Bobson Wambura, wakidai ni msaliti. Viongozi hao wa kitaifa, waliorodhesha tuhuma kadhaa dhidi ya diwani huyo za kuhalalisha kutotakiwa ndani ya chama kwenye mkutano wa hadhara mjini hapa.
10 years ago
Mtanzania22 Aug
Mnyika: Chadema tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba
![John Mnyika](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/John-Mnyika.jpg)
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika
Michael Sarungi na Grace Shitundu, Dar es Salaama
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya maandamano ya kupinga vikao vya Bunge Maalamu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) kumuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, kurudi katika meza ya mazungumzo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kunusuru mchakato wa Katiba...
10 years ago
GPLMNYIKA AFUNIKA MWANZA CHADEMA IKIZINDUA KANDA YA ZIWA VICTORIA
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Zitto aibuka CHADEMA
WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--DSnfuTV6yb0QoLFEshf4CbQ6kxkLxnMcImTXT6RBExz-RbukYHGTCgHcQJt8eqPeiEinyQ2y*3gjgeAHWiD0K/06ZITTO5.jpg?width=650)
ZITTO AICHAKAZA CHADEMA