Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNYIKA AFUNIKA MWANZA CHADEMA IKIZINDUA KANDA YA ZIWA VICTORIA

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika na Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje  akiwasili katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. John Mnyika akihutubia wananchi wa Mwanza jana. Wakazi wa Mwanza wakifuatilia mkutano huo wa uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Victoria.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASAF YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA VICTORIA.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza  hatua ya kutambua kaya maskini katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Tanga, Morogoro,Pwani na Simiyu ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini PSSN unaoratibiwa na mfuko huo nchini kote kwa awamu. Akifungua warsha ya kuwajengea uelewa viongozi wa wilaya ya Maswa ,Mkuu wa wilaya hiyo Luteni Mstaafu Abdallah Kihato ametoa wito kwa wananchi kuzingatia miongozo ya TASAF ili waweze kunufaika na mpango huo. 
Amesema serikali wilayani humo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wanusurika ajali ya meli Ziwa Victoria Mwanza

Wafanyakazi 10 wa meli ya F. Matala mali ya Kampuni ya Mkombozi Fishing Marine and Transport, wamenusurika kufa baada ya meli hiyo kuzama Ziwa Victoria usiku wa kuamkia jana.

 

9 years ago

GPL

NMB MASTERCARD MWANZA SASA RASMI KANDA YA ZIWA

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Baraka Konisaga (pili kushoto) na Mhazini wa NMB - Aziz Chacha wakipongezana baada ya kuzindua NMB Master Card kwa Mkoa wa Mwanza na Kanda nzima ya Ziwa katika hafla iliyofanyika jijini Mwanza.Aina tatu za Kadi za NMB Mastercard zilizozinduliwa ni: Tanzanite kwa ajili ya wateja wa kawaida,Titanium kwa ajili ya wateja wa kati na NMB World Reward MasterCard kwa ajili ya wateja wa kipato cha...

 

9 years ago

Raia Mwema

CCM, Chadema hapatoshi Kanda ya Ziwa

HEKAHEKA za kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi katika Kanda ya Ziwa ambapo mchuano

Christopher Gamaina

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAMALIZIKA LEO JIJINI MWANZA

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza akitoa hotuba yake wakati wa kufunga Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,lililomalizika leo kwenye hoteli ya Malaika,jijini Mwanza.Mh. Chiza amelifunga Kongamano hilo kwa niaba ya Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda ambaye hakuweza kuhudhulia kutokana na kubanwa na shughuli nyingi za Kitaifa.Kongamano hilo ambalo limefanyika kwa siku tatu mfululizo,liliweza kujadili mambo mengi kuhusiana na fursa ya kuwekeza katika Kanda hiyo ya Ziwa.

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Kilimo Kwanza kutoka kwa Yusuf Sinare Yusuf ambayo imetolea na Baraza la Taifa la Kueneleza Wakulima (ACT) kwa niaba ya wakulima, wafugaji na wavuvi nchini katika monyesho ya wakulima Nanenane yaliyofanyika kikanda na kufungwa na Waziri Mkuu jijini Mwanza August 8, 2014. Waziri Mkuu, izengo Pinda akitazama batamzinga kwenyebanda la wilaya ya Ukerewe katika maonyesho ya wakulima Nanenane ya kanda ya ziwa yaliyofanyika jijini Mwanza August 8,...

 

11 years ago

Mwananchi

Kilio cha Chadema kuhujumiwa Kanda ya Ziwa

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ukiwa unaendelea na ziara zake mikoani, viongozi wa Chadema kutoka Kanda ya Ziwa wanasema wanaunga mkono umoja huo unaotetea maoni ya wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO KWA SIKU YA PILI JIJINI MWANZA

 Mwenyekiti wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama (liesimama) akitoa muongozo wa namna vikao vitakavyokuwa vinaendelea kufanyika katika kumbi mbali mbali ndani ya Hoteli ya Malaika,iliwa ni muendelezo wa Kongamano Uwekezaji Kanda ya Ziwa,unaoendelea kufanyika leo kwenye Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.Wengine pichani toka kushoto ni Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye ndie Mwenyeji wa Kongamano hilo,Mh. Everist...

 

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI: Chadema wasafiri kwa chopa kusaka majimbo Kanda ya Ziwa

>Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Ziwa Magharibi, kimeanzisha operesheni maalumu kwa ajili ya kusaka ubunge katika majimbo yote yaliyoko kwenye kanda hiyo ambayo yanashikiliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani