TASAF YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA VICTORIA.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza hatua ya kutambua kaya maskini katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Tanga, Morogoro,Pwani na Simiyu ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini PSSN unaoratibiwa na mfuko huo nchini kote kwa awamu. Akifungua warsha ya kuwajengea uelewa viongozi wa wilaya ya Maswa ,Mkuu wa wilaya hiyo Luteni Mstaafu Abdallah Kihato ametoa wito kwa wananchi kuzingatia miongozo ya TASAF ili waweze kunufaika na mpango huo.
Amesema serikali wilayani humo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMNYIKA AFUNIKA MWANZA CHADEMA IKIZINDUA KANDA YA ZIWA VICTORIA
11 years ago
Habarileo26 Aug
Ebola yapiga hodi DRC
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
K-Mondo yapiga hodi DDC Kariakoo
BAADA ya kuwaburudisha wakazi wa viunga vya Mbezi Beach kwa takriban miaka mitano bila kutoka Wilaya ya Kinondoni, bendi ya K-Mondo Sound imeanza kushika kasi na kuvuka mipaka ambako wiki...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano
11 years ago
Michuzi
NMB YAPIGA HODI KWA WAKAAZI WA BUZURUGA, MKOANI MWANZA
11 years ago
Habarileo28 May
Watu watano wafa Ziwa Victoria
WATU watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Uchafuzi wa mazingira waathiri Ziwa Victoria
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida upatikanaji wa samaki katika Ziwa Victoria umeshuka kutoka tani 750,000 hadi kufikia wastani wa tani 180,000. Hii inatokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira. Uchafuzi wa...
10 years ago
Michuzi.jpg)
NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI
.jpg)
.jpg)
.jpg)