Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAPIGA HODI KWA WAKAAZI WA BUZURUGA, MKOANI MWANZA

 NMB imezindua  rasmi tawi la jipya la Buzuruga mkoani Mwanza, likiwa ni tawi la tisa kuzinduliwa katika mkoa wa huo, huku NMB ikiendelea kuwa ndio benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania. Akizungumza katika sherehe ya ufunguzi huo, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mh. Baraka Konisaga ameipongeza benki ya NMB kwa hatua nyingine iliyopiga kwa  kusogeza zaidi huduma kwa wateja  na kuitaka iendelee kuwa kinara wa huduma za kibenki nchini.  Aliwahamasisha wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akikata utepe kuzindua safari hiyo  Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dk Shaban Mwinjaka akiondoa treni kwa kupunga benderaUongozi wa Kampuni  ya Reli Tanzania  –TRL unachukua  fursa hii kuwataarifu wateja wetu wote na Watanzania kwa ujumla na hasa ukanda  wa ziwa kuwa hatimaye ile huduma iliyokuwa ikisubiriwa leo Aprili 12 , 2015 inaelekea Mwanza ‘Rock City’ Ziwa Victoria!

Safari hii ni ya pili kwa vile ya uzinduzi iliyofanyika Aprili...

 

10 years ago

Habarileo

Ebola yapiga hodi DRC

SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.

 

11 years ago

Tanzania Daima

K-Mondo yapiga hodi DDC Kariakoo

BAADA ya kuwaburudisha wakazi wa viunga vya Mbezi Beach kwa takriban miaka mitano bila kutoka Wilaya ya Kinondoni, bendi ya K-Mondo Sound imeanza kushika kasi na kuvuka mipaka ambako wiki...

 

9 years ago

Mwananchi

Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano

Kampuni ya Smile Communications Tanzania, imetangaza kupanua huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma na Morogoro, ili kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA VICTORIA.

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza  hatua ya kutambua kaya maskini katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Tanga, Morogoro,Pwani na Simiyu ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini PSSN unaoratibiwa na mfuko huo nchini kote kwa awamu. Akifungua warsha ya kuwajengea uelewa viongozi wa wilaya ya Maswa ,Mkuu wa wilaya hiyo Luteni Mstaafu Abdallah Kihato ametoa wito kwa wananchi kuzingatia miongozo ya TASAF ili waweze kunufaika na mpango huo. 
Amesema serikali wilayani humo...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA

 Wanafunzi  wa Shule ya Msingi Kiseke Wilaya  ya Ilemela Mkoani Mwanza,  wakiwa wameketi kwenye madawati  64 yenye thamani  ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama sehemu ya msaada kwa shule hiyo.Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hodi Hodi Brazil 2014, kumekucha!

Michuano ya kombe la dunia inang'oa nanga Brazil Alhamsi. Sura ya nchi hiyo imebadilika na hivi ndivyo mambo yalivyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani