K-Mondo yapiga hodi DDC Kariakoo
BAADA ya kuwaburudisha wakazi wa viunga vya Mbezi Beach kwa takriban miaka mitano bila kutoka Wilaya ya Kinondoni, bendi ya K-Mondo Sound imeanza kushika kasi na kuvuka mipaka ambako wiki...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MADUKA DDC KARIAKOO YAWAKA MOTO
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baadhi ya maduka yaliyopo eneo la DDC Kariakoo, Dar yanawaka moto!
10 years ago
Habarileo26 Aug
Ebola yapiga hodi DRC
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imebaini kuwepo kwa mlipuko wa maradhi ya homa kali maeneo ya Kaskazini mwa nchi hiyo, ambayo sasa imethibitika kuwa ni ugonjwa wa ebola.
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Huduma ya 4G LTE yapiga hodi mikoa mitano
Kampuni ya Smile Communications Tanzania, imetangaza kupanua huduma ya mtandao wake wa intaneti ya 4G LTE katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma na Morogoro, ili kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma ya intaneti yenye kasi katika maeneo mengi zaidi nchini.
10 years ago
MichuziTASAF YAPIGA HODI KANDA YA ZIWA VICTORIA.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF umeanza hatua ya kutambua kaya maskini katika mikoa ya Mwanza,Shinyanga,Tanga, Morogoro,Pwani na Simiyu ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa kunusuru kaya maskini PSSN unaoratibiwa na mfuko huo nchini kote kwa awamu. Akifungua warsha ya kuwajengea uelewa viongozi wa wilaya ya Maswa ,Mkuu wa wilaya hiyo Luteni Mstaafu Abdallah Kihato ametoa wito kwa wananchi kuzingatia miongozo ya TASAF ili waweze kunufaika na mpango huo.
Amesema serikali wilayani humo...
Amesema serikali wilayani humo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fKWhSFdpW48/Ux2EcNHFZCI/AAAAAAAFSlk/qeDY2G2_h78/s72-c/3.jpg)
NMB YAPIGA HODI KWA WAKAAZI WA BUZURUGA, MKOANI MWANZA
NMB imezindua rasmi tawi la jipya la Buzuruga mkoani Mwanza, likiwa ni tawi la tisa kuzinduliwa katika mkoa wa huo, huku NMB ikiendelea kuwa ndio benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania.
Akizungumza katika sherehe ya ufunguzi huo, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mh. Baraka Konisaga ameipongeza benki ya NMB kwa hatua nyingine iliyopiga kwa kusogeza zaidi huduma kwa wateja na kuitaka iendelee kuwa kinara wa huduma za kibenki nchini.
Aliwahamasisha wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zng6VD7bzkw/VSqIkAk4AwI/AAAAAAAHQr4/GLipOMuUDbw/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
NEWS ALERT: HODI, HODI ROCK CITY...TRENI YA DELUXE YAELEKEA MWANZA LEO JUMAPILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-zng6VD7bzkw/VSqIkAk4AwI/AAAAAAAHQr4/GLipOMuUDbw/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CaNHffDuy_8/VSqIkG8xEII/AAAAAAAHQr0/Jio7RWDh8tY/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-EVoCjpKwQyk/VSqIjyh3vEI/AAAAAAAHQrw/OmNt5k0W2gE/s1600/unnamed%2B(6).jpg)
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Hodi Hodi Brazil 2014, kumekucha!
Michuano ya kombe la dunia inang'oa nanga Brazil Alhamsi. Sura ya nchi hiyo imebadilika na hivi ndivyo mambo yalivyo
11 years ago
BBCSwahili06 Mar
Kombe la dunia labisha hodi hodi.
Mechi za kirafiki zaandaliwa katika maeneo mbali mbali duniani kwa maandalizi ya kombe la dunia litakaloandaliwa nchini Brazil.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania