Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wanusurika ajali ya meli Ziwa Victoria Mwanza

Wafanyakazi 10 wa meli ya F. Matala mali ya Kampuni ya Mkombozi Fishing Marine and Transport, wamenusurika kufa baada ya meli hiyo kuzama Ziwa Victoria usiku wa kuamkia jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jk utatekeleza lini ahadi ya meli Ziwa Victoria

Wiki moja iliyopita abiria 381 waliokuwa katika meli ya Mv Victoria walinusurika kufa baada ya chombo hicho kilichokuwa kikifanya safari kutoka Bukoba kwenda Mwanza kuzimika ghafla.

 

11 years ago

Mwananchi

Meli FB Matara iliyozama Ziwa Victoria yaibuliwa

Meli ya FB Matara iliyozama Aprili 17 mwaka huu kwenye Ziwa Victoria imeibuliwa na imehifadhiwa Kisiwa cha Karumo, wilayani Sengerema mkoani hapa.

 

10 years ago

GPL

MNYIKA AFUNIKA MWANZA CHADEMA IKIZINDUA KANDA YA ZIWA VICTORIA

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika na Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje  akiwasili katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. John Mnyika akihutubia wananchi wa Mwanza jana. Wakazi wa Mwanza wakifuatilia mkutano huo wa uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Victoria.…

 

10 years ago

GPL

WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI MWANZA

Mwonekano wa gari hilo baada ya kupata ajali.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika

WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...

 

5 years ago

Michuzi

MELI YA MV VICTORIA-HAPA KAZI TU YAANZA SAFARI YAKE MAJARIBIO

 Meli ya MV VICTORIA iliyokuwa ikifanyiwa ukarabati leo tarehe 28 June, 2020 ikiwa imeanza majaribio baada ya zaidi ya miaka 5 ya kuharibika. Safari ya kwanza ya majaribio kuelekea Bukoba yamefanyika jijini  Mwanza.







 

10 years ago

Vijimambo

MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA

Na Saidi Mkabakuli, Kyela
Kufuatia adha ya usafiri wa majini inayowakabili wakazi waishio katika fukwe za Ziwa Nyasa, Mamlaka ya Bandari Tanzania kupitia kituo chake cha Kyela ipo mbioni kujenga meli ya abiria na mizigo ili kuwahudumia wakazi hao.

Hayo yaliwekwa bayana na Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema wakati timu wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Tume ya Mipango ilipotembelea na kukagua bandari za Itungi na Kiwira zilizopo wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya.

Bw....

 

11 years ago

Habarileo

Watu watano wafa Ziwa Victoria

WATU watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi wa mazingira waathiri Ziwa Victoria

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida upatikanaji wa samaki katika Ziwa Victoria umeshuka kutoka tani 750,000 hadi kufikia wastani wa tani 180,000. Hii inatokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira. Uchafuzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani