Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika

WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MAHARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA

Waokoaji wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka Kigoma mjini kwenda katika kijiji cha Kigalya kutafuta miili ya marehemu ambayo bado haijapatikana

 Waokoaji toka vikosi mbalimbali wakiwemo wanajeshi wa JWTZ wakijiandaa kwenda kutafuta miili ambayo bado haijapatikana kutokana na jali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo Bibi harusi Mariamu Mduwa aliyenusurika  katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa anaendelea na matibabu...

 

10 years ago

Vijimambo

BIBI NA BWANA HARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA

Ndugu jamaa na wapambe wa bwana na bibi harusi walionusurika kifo baada ya ajali ya mtumbwi kutokea katika kijiji cha kalalangabo wakiwa wanaendelea na matibabu katika hospita ya Mkoa wa KigomaBibi harusi Mariamu mduwa aliyenusurika kifo katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa naendelea na matibabu katika hospital ya mkoa wa KigomaWaokoaji mbalimbali wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA

Na Editha Karlo wa Globu ya jamii Kigoma Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wanusurika ajali ya meli Ziwa Victoria Mwanza

Wafanyakazi 10 wa meli ya F. Matala mali ya Kampuni ya Mkombozi Fishing Marine and Transport, wamenusurika kufa baada ya meli hiyo kuzama Ziwa Victoria usiku wa kuamkia jana.

 

11 years ago

Dewji Blog

Masaa 14 ya safari ya Kinana Ziwa Tanganyika

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.

ccm 1

Katibu Mkuu wa CCM...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yavamia wavuvi Ziwa Tanganyika

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakiwa na silaha wamevamia wavuvi katika Ziwa Tanganyika na kuwapora zana mbalimbali za uvuvi zikiwemo mashine saba za boti...

 

9 years ago

Habarileo

Zana duni zazoofisha uvuvi ziwa Tanganyika

ZANA duni zinazotumiwa na wavuvi katika shughuli za uvuvi kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, kumeelezwa kuchangia kuifanya shughuli ya uvuvi kutokuwa na tija ya kutosha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, DRC zakubaliana kulinda Ziwa Tanganyika

SERIKALI za Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa na marafiki wengine kutoa msaada wa hali na mali katika juhudi za nchi hizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani