Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masaa 14 ya safari ya Kinana Ziwa Tanganyika

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.

ccm 1

Katibu Mkuu wa CCM...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASAFIRI KWA MASAA 14 KWENYE ZIWA VICTORIA KWENDA KISIWANI IRUGWA NA KUTUMIA MASAA MANNE MENGINE KWENDA KISIWA CHA UKARA KISI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya IrungwaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA MJI WA KIHISTORIA WA UJIJI,AKUTANA NA WAVUVI WADOGO WADOGO ZIWA TANGANYIKA

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mzee Masoud Mwinyi Chande kwenye mnara wa kumbukumbu ya nyumba ya kwanza ambayo Mwalimu Julius Nyerere alifikia Ujiji wakati akifanya harakati za kutafuta Uhuru, Inaelezwa kuwa Nyumba hiyo Mwalimu Nyerere alifika akiongozana na Suleiman Takadili na Bibi Titi Mohamed.Kulia ni Mbunge wa Kigoma Mjini,Mh Peter Serukamba,Katibu wa NEC,Siasa na Uenezi,Nape Nnauye,pamoja na Mwenyekiti wa CCM-Kigoma Ndugu Amani Kabouru.   Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yavamia wavuvi Ziwa Tanganyika

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakiwa na silaha wamevamia wavuvi katika Ziwa Tanganyika na kuwapora zana mbalimbali za uvuvi zikiwemo mashine saba za boti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika

WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, DRC zakubaliana kulinda Ziwa Tanganyika

SERIKALI za Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa na marafiki wengine kutoa msaada wa hali na mali katika juhudi za nchi hizo...

 

9 years ago

Habarileo

Zana duni zazoofisha uvuvi ziwa Tanganyika

ZANA duni zinazotumiwa na wavuvi katika shughuli za uvuvi kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, kumeelezwa kuchangia kuifanya shughuli ya uvuvi kutokuwa na tija ya kutosha.

 

10 years ago

Habarileo

Wavuvi ziwa Tanganyika watumia zana zenye sumu

WAVUVI katika Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa wamebainika kutumia zana haramu za uvuvi zikiwemo nyavu aina ya Monofilament zenye sumu kali ambayo ni hatari kwa maisha ya walaji na viumbe hai wanaoishi ziwani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani