Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zana duni zazoofisha uvuvi ziwa Tanganyika

ZANA duni zinazotumiwa na wavuvi katika shughuli za uvuvi kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, kumeelezwa kuchangia kuifanya shughuli ya uvuvi kutokuwa na tija ya kutosha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wavuvi ziwa Tanganyika watumia zana zenye sumu

WAVUVI katika Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa wamebainika kutumia zana haramu za uvuvi zikiwemo nyavu aina ya Monofilament zenye sumu kali ambayo ni hatari kwa maisha ya walaji na viumbe hai wanaoishi ziwani humo.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA

 Baadhi ya akina mama wanaojishughulisha na biashara ya samaki,wakiwa wametoka bandari ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo,ambapo dishi moja kama uonavyo pichani huuzwa kati ya shilingi Elfu 30,000/=  Akina mama wakiwa na madishi yao ya samaki,akina mama wengi eneo hilo wameeleza kuwa wanafaidika na biashara hiyo ya samaki kwa kujiingizia kipato na hatimaye kujikwamua na ugumu wa maisha,wameeleza kuwa changamoto yao kubwa ni mitaji ya kutosha ili kuendeleza biashara hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zana za uvuvi zatengewa bil 1.9/-

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imesema jumla ya sh bilioni 1.9 zimetengwa kwa ajili ya kununua boti za uvuvi na viambata vyake. Waziri wa wizara hiyo, David Mathayo,...

 

11 years ago

Habarileo

Zana haramu za uvuvi zateketezwa

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema

DSC03469

Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa.  Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi shupavu Bw. Henry Kaswahili.

Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema

Zana haramu za kuvulia Samaki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili na laki tani zimekamatwa na kuteketezwa na Afisa uvuvi tarafa ya Buchosa Wilayani Sengerema  Mkoani Mwanza Bw.Henry Kaswahili.

Kwa mujibu wa...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI-WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini mara...

 

5 years ago

Michuzi

ALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI - WAZIRI MKUU

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo ambaye amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA ALIYEKAMATWA NA ZANA ZA UVUVI HARAMU MWANZA AKIONE CHA MTEMAKUNI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza kwa njia ya video na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mwanza akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
/
DODOMA, TanzaniaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani