Zana haramu za uvuvi zateketezwa
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ameshiriki katika hafla ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya Sh milioni 68.6. Shughuli hiyo ilifanyika wilayani Muleba mkoani Kagera.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Oct
Zana za uvuvi haramu za mamilioni zateketezwa Sengerema
Katibu Tawala Wilaya Sengerema Bw. Focus Majumbi, (katikati) akishudia nyavu haramu kabla ya kuchomwa. Wa kwanza kushoto ni Afisa elimu msngi Wilaya Sengema Juma Mwajombe na Kulia ni Afisa uvuvi shupavu Bw. Henry Kaswahili.
Na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema
Zana haramu za kuvulia Samaki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mia mbili na laki tani zimekamatwa na kuteketezwa na Afisa uvuvi tarafa ya Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza Bw.Henry Kaswahili.
Kwa mujibu wa...
5 years ago
MichuziALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI-WAZIRI MKUU
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini mara...
5 years ago
MichuziALIYEKAMATWA NA ZANA UVUVI HARAMU MWANZA ACHUKULIWE HATUA KALI - WAZIRI MKUU
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo ambaye amekamatwa mara kadhaa kwa kukutwa na nyavu haramu. Wizara ilitoa specifications (aina ya nyavu) zinazoruhusiwa kutumika na KUU ya Mkoa ikasimamia lakini kuna maafisa wa Wizara waliingilia zoezi hilo mara tatu na akatozwa faini...
5 years ago
MichuziKINARA USAMBAZAJI ZANA HARAMU ZA UVUVI MBARONI MWANZA, POLISI WANNE WADAKWA KWA RUSHWA
NA BALTAZAR MASHAKA,Mwanza
KIGOGO na kinara wa uingizaji na usambazaji wa zana haramu za uvuvi katika Ziwa Victoria , Jeremiah Asama ( 48),mkazi wa Bwiru, Manispaa ya Ilemela ni miongoni mwa watu sita wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza, huku mtuhumiwa wa saba akidaiwa kutoroka.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa watu hao wakiwemo askari wanne wa jeshi hilo wanaodaiwa kukiuka maadili ya...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA AAGIZA ALIYEKAMATWA NA ZANA ZA UVUVI HARAMU MWANZA AKIONE CHA MTEMAKUNI
/
DODOMA, TanzaniaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa (KUU) wa Mwanza imchukulie hatua za kisheria mfanyabiashara aliyekamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya zana haramu za uvuvi.
“Yuko mfanyabiashara anaitwa Jeremiah Asam Omolo ambaye...
10 years ago
GPLWAZIRI DKT TITUS KAMANI ATEKETEZA ZANA HARAMU ZA UVUVI KATIKA ZIARA YAKE MKOANI RUKWA
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Kituo cha kuendeleza Samaki Kanda ya Kati chatoa siku saba kwa wavuvi haramu kusalimisha zana haramu wanazotumia
Baadhi ya nyavu haramu zisizoruhusiwa kutumika kuvulia samaki kwenye bwawa la Kijiji cha Mwanzugi,wilayani Igunga.
Ofisa Uvuvi Mfawidhi Kituo cha kuendeleza ufugaji samaki kanda ya kati, Bwana Renatus Charles Karumbete akitoa maelezo ya namna samaki wanavyozalishwa katika kituo hicho.
Na. Jumbe Ismailly
[IGUNGA] Kituo cha kuendeleza samaki Kanda ya kati,chenye makao yake makuu wilayani Igunga,Mkoani Tabora kimetoa muda wa siku saba kuanzia sasa kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi...
11 years ago
Tanzania Daima19 Dec
Zana za uvuvi zatengewa bil 1.9/-
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imesema jumla ya sh bilioni 1.9 zimetengwa kwa ajili ya kununua boti za uvuvi na viambata vyake. Waziri wa wizara hiyo, David Mathayo,...