Majambazi yavamia wavuvi Ziwa Tanganyika
WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakiwa na silaha wamevamia wavuvi katika Ziwa Tanganyika na kuwapora zana mbalimbali za uvuvi zikiwemo mashine saba za boti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Jan
Wavuvi ziwa Tanganyika watumia zana zenye sumu
WAVUVI katika Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi mkoani Rukwa wamebainika kutumia zana haramu za uvuvi zikiwemo nyavu aina ya Monofilament zenye sumu kali ambayo ni hatari kwa maisha ya walaji na viumbe hai wanaoishi ziwani humo.
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ATEMBELEA MJI WA KIHISTORIA WA UJIJI,AKUTANA NA WAVUVI WADOGO WADOGO ZIWA TANGANYIKA


10 years ago
Uhuru Newspaper22 Apr
Majambazi yavamia kanisani na kuiba
Na Clarence Chilumba, Ruangwa
WATU watano wamevamia na kuvunja madirisha ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Malolo na kuiba chombo kinachotumika kuhifadhia ekaristi takatifu (TABERNACULO).
Imeelezwa kuwa majambazi hayo yalidhani chombo hicho kimetengenezwa kwa dhahabu.
Tukio hilo lilitokea juzi, saa 8:30 usiku, baada ya majambazi hayo kuvunja madirisha ya kanisa hilo.
Kanisa hilo ni miongoni mwa makanisa makongwe na yenye historia kubwa hapa nchini, ambalo lilijengwa mwaka...
10 years ago
Vijimambo22 Jan
Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni

Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.
Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...
10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS:MAJAMBAZI YAVAMIA KUTUO CHA POLISI UKONGA STAKI SHARI YAUA ASKARI NA RAIA

Vijimambo iliongea na mmoja ya mkazi wa eneo hilo yeye alisema alisikia milio ya risasi mida ya saa 5 usiku karibu na nyumbani kwake lakini hafahamu kilichotokea. Mkazi mwingine wa Ukonga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na...
11 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika
WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Masaa 14 ya safari ya Kinana Ziwa Tanganyika

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda boti kutoka mkoa wa Kigoma kuelekea Karema mkoani Katavi kwa siku nne.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa kijiji cha Sigunga wilayani Uvinza mkoani Kigoma alipowasili kijijini hapo kuzungumza wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi,wengine wanaonekana kwenye picha ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Balozi Ali Abeid Karume.

Katibu Mkuu wa CCM...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Zana duni zazoofisha uvuvi ziwa Tanganyika
ZANA duni zinazotumiwa na wavuvi katika shughuli za uvuvi kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, kumeelezwa kuchangia kuifanya shughuli ya uvuvi kutokuwa na tija ya kutosha.