Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi yavamia kanisani na kuiba


Na Clarence Chilumba, Ruangwa
WATU watano wamevamia na kuvunja madirisha ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Malolo na kuiba chombo kinachotumika kuhifadhia ekaristi takatifu (TABERNACULO).
Imeelezwa kuwa majambazi hayo yalidhani chombo hicho kimetengenezwa kwa dhahabu.
Tukio hilo lilitokea juzi, saa 8:30 usiku, baada ya majambazi hayo kuvunja madirisha ya kanisa hilo.
Kanisa hilo ni miongoni mwa makanisa makongwe na yenye historia kubwa hapa nchini, ambalo lilijengwa mwaka...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Majambazi yavamia, yaua polisi kituoni

Waliouawa wawili, yapora bunduki saba na risasi kibao, Ni tukio la tatu katika miezi saba, IGP atangaza bingo ya milioni 20/-Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu.
Matukio ya kuvamia, kuteka, kuwaua askari na kupora silaha katika vituo vya polisi, yameanza kushamiri nchini, hali inayoashiria hatari iliyopo kwa wananchi kwani sasa majambazi yameanza kuvigeuza vituo hivyo kuwa eneo la kujipatia silaha.

Katika kipindi cha miezi saba sasa kuanzia Juni, mwaka jana hadi Januari, mwaka huu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majambazi yavamia wavuvi Ziwa Tanganyika

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakiwa na silaha wamevamia wavuvi katika Ziwa Tanganyika na kuwapora zana mbalimbali za uvuvi zikiwemo mashine saba za boti...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS:MAJAMBAZI YAVAMIA KUTUO CHA POLISI UKONGA STAKI SHARI YAUA ASKARI NA RAIA

Kuna taarifa tulizozipata kuwa kituo cha polisi Ukomnga sitaki shari, jijini Dar es Salaam, kimevamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana ambapo, askari polisi sita na raia wawili wameuawa. Mwazo taarifa hizo zilisema polisi wanne wameuawa na bunduki 21 zimeibiwa.
Vijimambo iliongea na mmoja ya mkazi wa eneo hilo yeye alisema alisikia milio ya risasi mida ya saa 5 usiku karibu na nyumbani kwake lakini hafahamu kilichotokea. Mkazi mwingine wa Ukonga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na...

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAPORA BUNDUKI, WAITUMIA KUIBA PESA DUKANI

Raia waliokuwepo eneo la tukio wakishangaa. Duka la vinywaji lililoibiwa. Sehemu ambayo majambazi wameiba bunduki aina ya Shot Gun.…

 

10 years ago

Africanjam.Com

MAJAMBAZI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUIBA BENKI

Majambazi wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar baada ya kufanya jaribio la kuiba pesa kwenye benki ya NMB Sinza Mori. Pembeni ni wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo tarehe 18/09/2015 katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini...

 

10 years ago

GPL

MAJAMBAZI WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA SINZA-MORI, DAR

Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. ...wakiwa chini ya ulinzi. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo.…

 

10 years ago

Vijimambo

Majambazi Sugu Wakamatwa Mchana Wa Leo Jijini Dar Wakitaka Kuiba Benki Ya NMB


Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar. Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.Majambazi...

 

10 years ago

CloudsFM

A-Shaabab yavamia tena Kenya

Kundi la Alshabaab wamefanya mashambulizi katika chuo kikuu cha Garissa kasikazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia na maafisa usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki Dunia na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi hayo na wakazi wa eneo hilo wametakiwa kuaa mbali na eneo hilo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani