BIBI NA BWANA HARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA
Ndugu jamaa na wapambe wa bwana na bibi harusi walionusurika kifo baada ya ajali ya mtumbwi kutokea katika kijiji cha kalalangabo wakiwa wanaendelea na matibabu katika hospita ya Mkoa wa Kigoma
Bibi harusi Mariamu mduwa aliyenusurika kifo katika ajali ya mitumbwi katika kijiji cha kalalangabo akiwa naendelea na matibabu katika hospital ya mkoa wa Kigoma
Waokoaji mbalimbali wakijindaa kwenda katika eneo ilipotokea ajali ya mitumbwi iliyobeba harusi kutoka kigoma mjini kwenda katika kijiji cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-It62ef937OQ/VDryLedLHXI/AAAAAAAGpnw/E6bt5SG02ok/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: MAHARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-It62ef937OQ/VDryLedLHXI/AAAAAAAGpnw/E6bt5SG02ok/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kJd6t2M18tU/VDryLinzMPI/AAAAAAAGpoI/Ccq040y8umk/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-YGn1XzY7Ao4/VDryLmf08yI/AAAAAAAGpn0/iy9cWyetbDU/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
10 years ago
Vijimambo14 Oct
Bwana harusi asimulia walivyonusa kifo ajali ya mtumbwi
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/UOKOJI.jpg)
Akizungumza na NIPASHE katika mahojiano maalum jana, Hamis alisema baada ya kuona mtumbwi ukizama, alimrukia mkewe na kumshika mkono na kisha kuanza kuogelea naye hadi nchi kavu na hivyo kunusurika kifo.
Kutokana na hali hiyo, anasema anamshukuru Mungu kwa yeye na mkewe, Mariamu (24),...
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika
WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i3saPbH7_pQ/VDtmOkKtnAI/AAAAAAAGpqk/YjVbS21HK4c/s72-c/wanajeshi1.jpg)
NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Zawadi, uheshimiwa ni vya bwana na bibi harusi
10 years ago
VijimamboWATOTO 4 WANUSURIKA KIFO BAADA YA KULIPUKIWA NA MLIPUKO
akiwa amelazwa katika Hospitali ya wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma,baada ya kulipukiwa na Vilipushi[detonator] ambavyo vimesadikiwa kuwahutumika kulipulia miamba, wakati alipokuwa akicheza nawenzake nakusababisha kuumia mkono wake wa kulia na sehemu mbalimbali zamwiliwake. Huyo ni mmoja kati ya watoto sita ambao walio patwa na mkasa huo.Picha NA AMON MTEGANA AMON MTEGA wa DemashonewsWATOTO wanne kati ya sita wamenusurika...
10 years ago
GPLWATANO WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rM2ET0RD6FE/VDtuJJ7hh_I/AAAAAAAGprE/Jm0dhjWRjHQ/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA