latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rM2ET0RD6FE/VDtuJJ7hh_I/AAAAAAAGprE/Jm0dhjWRjHQ/s72-c/unnamed%2B(33).jpg)
Na Editha Karlo wa Globu ya jamii Kigoma Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-i3saPbH7_pQ/VDtmOkKtnAI/AAAAAAAGpqk/YjVbS21HK4c/s72-c/wanajeshi1.jpg)
NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ySdVWq-YR30/VDz08xfx2II/AAAAAAAGqdo/uvb42TWAlbM/s72-c/unnamed%2B(46).jpg)
ZOEZI LA UOPOAJI WA MIILI KATIKA AJALI YA MITUMBWI ZIWA TANGANYIKA LASITISHWA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ySdVWq-YR30/VDz08xfx2II/AAAAAAAGqdo/uvb42TWAlbM/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-laDMM-_ZONY/VDz0x66UPsI/AAAAAAAGqdg/kaPw_F3vEaw/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
SEREKALI ya Mkoa wa Kigoma imesitisha zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi miwili ya maharusi iliyotokea tokea hivi karibuni katika Ziwa Tanganyika kwenye kijiji cha Kalalangabo kilichopo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-It62ef937OQ/VDryLedLHXI/AAAAAAAGpnw/E6bt5SG02ok/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: MAHARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-It62ef937OQ/VDryLedLHXI/AAAAAAAGpnw/E6bt5SG02ok/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kJd6t2M18tU/VDryLinzMPI/AAAAAAAGpoI/Ccq040y8umk/s1600/unnamed%2B(15).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-YGn1XzY7Ao4/VDryLmf08yI/AAAAAAAGpn0/iy9cWyetbDU/s1600/unnamed%2B(16).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika
WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Maiti zaidi za mafuriko zapatikana
MAITI nyingine za watu wawili waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Jijii la Dar es Salaam zimepatikana. Maiti hizo zinafanya jumla ya watu waliripotiwa na Jeshi la...
10 years ago
Vijimambo13 Oct
BIBI NA BWANA HARUSI WANUSURIKA KIFO BAADA YA MTUMBWI WALIOPANDA KUZAMA ZIWA TANGANYIKA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/wahanga.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/bibi-harusi.jpg)
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/10/UOKOJI.jpg)
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Maiti sita zapatikana ziwani
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Maiti 30 zapatikana ufuoni Italia
10 years ago
BBCSwahili21 Mar
Maiti 70 zapatikana zimetupwa Nigeria