Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maiti 30 zapatikana ufuoni Italia

Jeshi la wanamaji nchini Italia , limepata maiti 30 katika mashua ya uvuvi ambayo lilikuwa limewabeba mamia ya wahamiaji

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Maiti zaidi za mafuriko zapatikana

MAITI nyingine za watu wawili waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Jijii la Dar es Salaam zimepatikana. Maiti hizo zinafanya jumla ya watu waliripotiwa na Jeshi la...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maiti 70 zapatikana zimetupwa Nigeria

Takriban maiti 70 zimepatikana zimetupwa nje ya mji wa Damasak ,Nigeria baada ya mji huo kutwaliwa na wanajeshi wa serikali

 

11 years ago

Mwananchi

Maiti sita zapatikana ziwani

Maiti sita kati ya nane za watu waliofia Ziwa Tanganyika baada ya boti mbili kugongana Julai 7 wilayani Nkasi mkoani Rukwa zimepatikana.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI

Na Editha Karlo,Globu ya jamii - Kigoma
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....

 

10 years ago

Michuzi

latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA

Na Editha Karlo wa Globu ya jamii Kigoma Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado...

 

5 years ago

BBCSwahili

Brazil: Kwa nini makuburi haya yamechimbwa ufuoni?

Wanaharakati wa Brazil wanaoikosoa serikali yao namna inavyoshughulikia janga la corona kwa kuchimba makaburi mia moja mjini Rio die Janeiro

 

10 years ago

BBCSwahili

Tambi zapatikana na madini hatari India

Maafisa wa India wamepiga marufuku chakula aina ya tambi ziitwazo ''Maggi noodles'' baada yakupatikana na madini hatari aina ya 'lead'.

 

11 years ago

Michuzi

Dola za Marekani milioni 53.8 zapatikana kutokana na mauzo ya vito

 Na Greyson Mwase, Bagamoyo
Jumla ya Dola za Marekani  milioni 53.8  zilipatikana kutokana na mauzo ya vito mbalimbali ndani ya nchi  kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha  Uchambuzi na Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito, (TANSORT) kilichopo chini ya Wizara  ya Nishati na Madini   Archard Kalugendo kwenye semina  iliyoshirikisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda,  Afisa Madini Wakazi na  Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini inayoendelea Bagamoyo...

 

5 years ago

Michuzi

Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini

Na Greyson Mwase, DodomaKATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepatikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.
Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani