Tambi zapatikana na madini hatari India
Maafisa wa India wamepiga marufuku chakula aina ya tambi ziitwazo ''Maggi noodles'' baada yakupatikana na madini hatari aina ya 'lead'.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Marufuku ya tambi za Nestle yaondolewa India
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Nestle yaagizwa kuondoa tambi zake India
5 years ago
MichuziBilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini
Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020...
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Njia ya uzazi wa mpango hatari India
9 years ago
StarTV18 Nov
Serikali ya India kuanza kuwafundisha Watanzania Uchimbaji Bora Wa Madini
Serikali imeingia makubaliano na kituo cha sayansi na mazingira cha India CSE kutumia wataalamu wa kituo hicho kuja nchini kusaidia uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ili ufanyike kwa ufanisi kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira na usalama.
Hatua hii ya Serikali inakuja kutokana na kuanza kwa uchimbaji mkubwa wa makaa ya mawe nchini ukiwemo unaoendelea Ngaka mkoani Ruvuma.
Imebainishwa kuwa ni muhimu kuwepo kwa mikakati mizuri ya kuhifadhi mazingira wakati wa uchimbaji na wakati wa...
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Maiti zaidi za mafuriko zapatikana
MAITI nyingine za watu wawili waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Jijii la Dar es Salaam zimepatikana. Maiti hizo zinafanya jumla ya watu waliripotiwa na Jeshi la...
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Maiti 30 zapatikana ufuoni Italia
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Maiti sita zapatikana ziwani