Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku ya tambi za Nestle yaondolewa India

Marufuku ya tambi za kampuni ya kutengeneza chakula ya Nestle imeondolewa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nestle yaagizwa kuondoa tambi zake India

Shirika la India linalohusika na ubora wa vyakula limepiga marufuku utengenezaji wa chakula aina ya tambi ziitwazo ''Maggi Noodles''

 

10 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya mitandao ya ngono India yaondolewa

Serikali ya India imefutilia mbali amri ya kufunga mitandao yote inayopeperusha filamu za ngono

 

10 years ago

BBCSwahili

Tambi zapatikana na madini hatari India

Maafisa wa India wamepiga marufuku chakula aina ya tambi ziitwazo ''Maggi noodles'' baada yakupatikana na madini hatari aina ya 'lead'.

 

10 years ago

BBCSwahili

India yaishtaki kampuni ya Nestle

Serikali ya India inaishtaki kampuni ya Nestle kwa malipo ya dola milioni 100 kwa mfumo wa biashara usio halali kulingana na afisa mmoja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Youtube yaondolewa Uturuki

Serikali ya Uturuki imeondoa marufuku ya miezi mwili iliyoweka dhidi ya mtandao wa kijamii wa YouTube .

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yazuia marufuku ya pombe India

Mahakama ya rufaa nchini India imezuia mpango wa jimbo la Kerala Kusini mwa nchi hiyo kupiga marufuku pombe.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pombe kupigwa marufuku Bihar, India

Waziri mkuu wa jimbo la Bihar nchini India ,Nitish Kumar ametangaza mipango ya kupiga marufuku uuzaji na utumizi wa pombe katika jimbo hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni ya Nestle kuchimba kisima Mtwara

KAMPUNI ya Nestle, tawi la Tanzania imetoa msaada wa sh milioni 10 kwa ajili ya mradi wa kisima kirefu katika Chuo Kikuu cha Stella Maris (STEMMUCO) cha mkoani Mtwara. Akizungumza...

 

9 years ago

Bongo5

Kampuni ya Nestle yathibitisha ubora na uhalisia wa bidhaa yake ya Nido

NIDO-PACK-PRESS_TIN_D-swa(1)

Kampuni mama ya bidhaa ya maziwa ya unga ya NIDO, Nestle, hivi karibuni imethibitisha ubora na uhalisia wa bidhaa yake hii maarufu ya NIDO.

NIDO-PACK-PRESS_TIN_D-swa(1)

Hii imekuja baada ya mabadiliko ya chanzo cha upatikanaji wa maziwa haya kuhamia nchi ya Afrika Kusini, mabadiliko haya yalisababisha mkanganyiko kwa watumiaji wake wa kila siku.

Kampuni ya Nestle imewahakikishia kuwa NIDO (kwenye picha) kama ilivyo bidhaa nyingine kutoka Nestle, imetengenezwa kwa kufuata viwango vya hali ya juu kabisa vya uborana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani