Maiti sita zapatikana ziwani
Maiti sita kati ya nane za watu waliofia Ziwa Tanganyika baada ya boti mbili kugongana Julai 7 wilayani Nkasi mkoani Rukwa zimepatikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Maiti zaidi za mafuriko zapatikana
MAITI nyingine za watu wawili waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Jijii la Dar es Salaam zimepatikana. Maiti hizo zinafanya jumla ya watu waliripotiwa na Jeshi la...
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Maiti 30 zapatikana ufuoni Italia
10 years ago
BBCSwahili21 Mar
Maiti 70 zapatikana zimetupwa Nigeria
11 years ago
Michuzi
NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....
11 years ago
Michuzi.jpg)
latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA
11 years ago
Habarileo14 Oct
Idadi ya waliofia ziwani yaongezeka
IDADI ya watu waliokufa katika ajali ya boti iliyotokea juzi katika Ziwa Tanganyika na wengine zaidi ya 70 kunusurika wakiwemo bwana na bibi harusi waliookolewa wakitoka kufunga ndoa, imeongezeka na kufikia kumi.
10 years ago
Habarileo02 Jul
Mwalimu afa baada ya kujitosa ziwani
MWALIMU wa Shule ya Msingi Kibumaye iliyopo tarafa ya Inchage wilayani Tarime mkoani Mara, Nelson Zachma (50) amekufa kwa kujitosa Ziwa Victoria.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar04 Oct
Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15
The post Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15 appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Makonda, ukichafuka ziwani hutojisafi dimbwini!
PENGINE kwa kutaka kueleweka zaidi nimeona nitumie msemo huu, ambao naamini wengi watanielewa ninachomaanisha na kuwatambua wote wenye tabia inayoendana na msemo huu. Hivi karibuni Paul Makonda kada wa Chama...