Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makonda, ukichafuka ziwani hutojisafi dimbwini!

PENGINE kwa kutaka kueleweka zaidi nimeona nitumie msemo huu, ambao naamini wengi watanielewa ninachomaanisha na kuwatambua wote wenye tabia inayoendana na msemo huu. Hivi karibuni Paul Makonda kada wa Chama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

11 years ago

Mwananchi

Maiti sita zapatikana ziwani

Maiti sita kati ya nane za watu waliofia Ziwa Tanganyika baada ya boti mbili kugongana Julai 7 wilayani Nkasi mkoani Rukwa zimepatikana.

 

11 years ago

Habarileo

Idadi ya waliofia ziwani yaongezeka

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali mstaafu Issa MachibyaIDADI ya watu waliokufa katika ajali ya boti iliyotokea juzi katika Ziwa Tanganyika na wengine zaidi ya 70 kunusurika wakiwemo bwana na bibi harusi waliookolewa wakitoka kufunga ndoa, imeongezeka na kufikia kumi.

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu afa baada ya kujitosa ziwani

Kaimu Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Sweetbert Njewike MWALIMU wa Shule ya Msingi Kibumaye iliyopo tarafa ya Inchage wilayani Tarime mkoani Mara, Nelson Zachma (50) amekufa kwa kujitosa Ziwa Victoria.

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15

The post Mkutano wa kampeni CUF Ziwani/Ole 16/09/15 appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani