Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZOEZI LA UOPOAJI WA MIILI KATIKA AJALI YA MITUMBWI ZIWA TANGANYIKA LASITISHWA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali mstaafu Issa Machibya akiongea na waandishi wa habari(ambao hawapo pichani)ofisini kwake juu ya kusitisha kwa zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi iliyotokea hivi karibuni katika kijiji cha kalalangabo ziwa Tanganyika.Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kigoma
SEREKALI ya Mkoa wa Kigoma imesitisha zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi miwili ya maharusi iliyotokea tokea hivi karibuni katika Ziwa Tanganyika kwenye  kijiji cha Kalalangabo kilichopo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS UPDATES: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA HARUSI

Na Editha Karlo,Globu ya jamii - Kigoma
Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado hazijapatikana....

 

10 years ago

Michuzi

latest updates: MAITI ZAIDI ZAPATIKANA ZIWA TANGANYIKA BAADA YA AJALI YA MITUMBWI YA MAHARUSI JANA

Na Editha Karlo wa Globu ya jamii Kigoma Mpaka sasa jumla ya maiti nne zimeopolewa na kufanya kufikia idadi ya maiti kumi zimepatikana katika ajali ya mitumbwi iliyotokea jana mchana katika kijiji cha Kalalangabo baada ya mitumbwi iliyokuwa imebeba maharusi ndugu jamaa na wapambe kupigwa wimbi na kuzama.  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Mstaafu Issa Machibya ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya Mkoa amesema kuwa bado idadi maiti zilipo kwenye maji ni kubwa ambazo bado...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zoezi la uokoaji lasitishwa A.kusini

Operesheni ya kuokoa wachimba madini waliokwama kwenye shimo la mgodi yasitishwa

 

11 years ago

GPL

ZOEZI LA KUITAFUTA NDEGE YA MALAYSIA LASITISHWA

Meli ya Australia ikiwa kwenye zoezi la utafutaji wa ndege ya Malaysia iliyopotea kabla ya zoezi hilo kusitishwa. Mmoja wa ndugu wa abiria waliokuwemo kwenye ndege iliyopotea akilia kwa simanzi baada ya taarifa kuwa ndege hiyo ilianguka kusini mwa bahari ya Hindi. IDARA ya usalama wa baharini ya Australia imetangaza kwamba shughuli za kuitafuta… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa

DSC_5240

Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi

Modewjiblog team

Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.

Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SREKALI YA TANZANIA

Na Editha Karlo Globu ya Jamii,Kigoma
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Akizungumza muda mfupi baada ya mazishi ya raia hao Balozi mdogo wa DRC nchini kutoka Ubaozi mdogo Mkoani hapa,Mh. Riki Moleme alisema.

Mh. Maleme alisema kuwa amefarijika sana kwa namna serekali ya Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat Race” iliyofanyiak Dar es Salaam leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani