Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi
Modewjiblog team
Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.
Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Breaking News: Kesi ya kupinga bomoabomoa Kinondoni yasogezwa mbele hadi saa 8 mchana
Baadhi ya wananchi ambao wamekumbwa na wengine wakiwa bado hawajafikiwa na bomoabomoa hiyo wakiwa wamekaa nje ya mahakama kuu ya ardhi kusubiri hatma yao
Modewjiblog team
Kesi ya kupinga kubomoa nyumba katika mabonde ya Kinondoni ambayo ilikuwa isikilizwe jana jumatatu na kuhairishwa hadi leo jumanne, januari 5 imehairishwa kwa muda kusikilizwa hadi saa nane mchana.
Tayari magari ya Polisi ya washawasha na vikosi vya ulinzi vimetanda nje ya mahakama kuu ya ardhi kwa ajili kuhakikisha...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..
Headlines za bomoabomoa zimeendelea tena leo Dec 18 ambapo zoezi hilo limeendela kwenye wilaya ya Kinondoni na kubomoa nyumba za wakazi waliokuwa wakiishi maeneo hatarishi hasa bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni Hizi ni picha 20 za tukio zima la ubomoaji linaloendelea muda huu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar….. appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
Breaking News: Wakazi wa Kurasini wafunga barabara kwa muda!
Baadhi ya wakazi wa Mivinjeni Kurasini wakiwa na mabango katikati ya Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam hivi sasa, zenye ujumbe wa malalamiko ya kudai kulipwa fidia zao ili kupisha mradi wa ujenzi wa bandari kavu kwenye eneo hilo.
HABARI KAMILI ITAKUJIA HAPO BAADAE KIDOGO..!
Baadhi ya magazri na mabasi yakigeuza yalikotoka.
Gari lililokuwa likielekea kwenye maonyesho ya Sabasaba likizuiwa na wakazi wa eneo hilo.
Mabasi yakizuiwa kupita.
Baadhi ya waanawake wa eneo hilo wakimzuia...
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
Zoezi la uokoaji lasitishwa A.kusini
11 years ago
GPLZOEZI LA KUITAFUTA NDEGE YA MALAYSIA LASITISHWA
10 years ago
MichuziZOEZI LA UOPOAJI WA MIILI KATIKA AJALI YA MITUMBWI ZIWA TANGANYIKA LASITISHWA
SEREKALI ya Mkoa wa Kigoma imesitisha zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi miwili ya maharusi iliyotokea tokea hivi karibuni katika Ziwa Tanganyika kwenye kijiji cha Kalalangabo kilichopo...
10 years ago
MichuziNSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KWA WAKAZI WA TANGA
BOFYA...