Breaking News: Kesi ya kupinga bomoabomoa Kinondoni yasogezwa mbele hadi saa 8 mchana
Baadhi ya wananchi ambao wamekumbwa na wengine wakiwa bado hawajafikiwa na bomoabomoa hiyo wakiwa wamekaa nje ya mahakama kuu ya ardhi kusubiri hatma yao
Modewjiblog team
Kesi ya kupinga kubomoa nyumba katika mabonde ya Kinondoni ambayo ilikuwa isikilizwe jana jumatatu na kuhairishwa hadi leo jumanne, januari 5 imehairishwa kwa muda kusikilizwa hadi saa nane mchana.
Tayari magari ya Polisi ya washawasha na vikosi vya ulinzi vimetanda nje ya mahakama kuu ya ardhi kwa ajili kuhakikisha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi
Modewjiblog team
Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.
Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...
10 years ago
Bongo511 Nov
Kesi ya Chid Benz yasogezwa mbele mpaka December 1
10 years ago
MichuziHII NI NYUMBA YA MICHEZO TANZANIA….YAHUSIKAJE?? SAA 3 ASUBUHI HADI SAA SITA ZA MCHANA-SPORTS HEADQUATERS..
1. MAULID KITENGE NI NANI?,Huyu ni mtangazaji nguli wa Sports Tanzania, aliyetumia kipindi cha miaka kumi na nne(14) kwenye moja kati ya vituo maarufu nchini Tanzania, na mwanzilishi wa Sports E FM Radio, ambae anafahamika sana kwa utangazaji wake maridhawa, na maswali yenye kutia...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Mbunge wa Kinondoni Atinga Kortini Kupinga Bomoabomoa Jimboni Kwake
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Kesi ya bomoabomoa Dar yaahirishwa hadi kesho
Baadhi ya wakazi wanaoishi mabondeni wakiwa mahakamani hapo.Wakazi wa maeneo ya mabondeni wakiwa tayari kusikiliza shauri la zuio lao la kusitisha bomoabomoa mahakamani hapo.Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia (katikati) akiwa na wakili wake kabla kesi kusikilizwa.
KESI ya kupinga bomoabomoa iliyofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia (CUF) katika Mahakam Kuu kitengo cha Ardhi jijini Dar es Salaam imesikilizwa leo na kuahirishwa hadi kesho.
Mtulia (kushoto) akijaribu...
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Breaking News!!No More Che Mundugwao! afariki dunia mchana wa leo katika Hospitali ya Muhimbili
Che Mundugwao enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Katika masikitiko makubwa na majonzi, Tanzania imeweza kumpoteza msanii mahiri wa muziki wa asili nchini, Chigwele Che Mundugwao alifariki mchana wa leo.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali kutoka vyanzo vya habari, vilivyoifikia chumba cha Habari Modewji blog, zilieleza kuwa, CHE MUNDUGWAO amefariki dunia leo Aprili 16, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Hata hivyo taarifa zaidi zitaendelea kutolewa hapo baadae..ENDELEA...
9 years ago
VijimamboSHEREHE ZA EID AL HAJJ NEW YORK SIKU YA SEPTEMBER 24 SIKU YA ALHAMIS KUANZIA SAA 7 MCHANA HADI 4 USIKU
Jumuiya ya Waislam Watanzania wa NY, NJ, CT MA, PA na DE (NEMTA) ina furaha kuwaalika Watanzania wote wanaishio katika majimbo tajwa kuhudhuria tafrija ya kusherehekea Eid Al Hajj. Ndugu waalikwa tunawaomba kufika kwa wakati ili tuweze kufaidika na kuwafaidisha watoto wetu kusherehekea siku hii adhimu. Kuhudhuria kwako itakuwa ni ushirikiano mkubwa katika kufanikisha sherehe hii. Mahala husika ambapo sherehe itafanyika ni Madina Hall Kuanzia saa 7 Mchana hadi 4 usiku Watanzania wote...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Mahakama ya Kadhi yasogezwa mbele
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameeleza sababu za Bunge kushindwa kujadili miswada kadhaa, ikiwemo uliohusu Marekebisho ya Sheria ya Kiislamu, inayotambua Mahakama ya Kadhi.