Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar…..

Headlines za bomoabomoa zimeendelea tena leo Dec 18 ambapo zoezi hilo limeendela kwenye wilaya ya Kinondoni na kubomoa nyumba za wakazi waliokuwa wakiishi maeneo hatarishi hasa bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni Hizi ni picha 20 za tukio zima la ubomoaji linaloendelea muda huu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Ninazo picha 20 kutoka hapa Kinondoni kwenye zoezi la BomoaBomoa Dar….. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa

DSC_5240

Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi

Modewjiblog team

Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.

Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17

Taarifa ikufikie kwamba awamu nyingine ya bomoabomoa tayari imeendelea Dar es Salaam na kuna maeneo tayari imepita kukamilisha zoezi hilo. Kuna watu wamejenga maeneo ya wazi, wako waliojenga kwenye maeneo hatarishi au maeneo yasiyoruhusiwa, agizo likatoka Serikalini kwamba wahame mapema kabla ya Serikali haijaingilia kati. Wapo waliohama na wapo waliobaki kwenye maeneo hayo, bomoabomoa imepita na […]

The post Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17 appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha nne za Rais Magufuli kwenye ibada ya Christmas Dar…

HappyBoxing Day Mtu WANGU !! Jana December 25 2015 ilikuwa siku ambayo wakristo sehemu mbalimbali Duniani waliungana kusherehekea sikukuu ya Christmas… lakini haikuwa sherehe tu ya kukaa nyumbani na kusherehekea, ilikuwa siku ya kukutana kwenye nyumba za ibada kwa ajili ya kusali na kumshukuru MUNGU. Rais John Magufuli aliongozana pia na Mama Janeth Magufuli kwenda […]

The post Picha nne za Rais Magufuli kwenye ibada ya Christmas Dar… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Desemba 22, 2015

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  Desemba 22, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Serikali imesema itachukua hatua kali dhidi ya wamiliki wa vyuo ambao […]

The post Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania...

 

9 years ago

MillardAyo

Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January4, 2016

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  January 4, 2016, unazisoma zote kwa pamoja. Matajiri maliasili kutumbuliwa, Serikali kupitia upya bei ya umiliki vitalu vya […]

The post Tayari ninazo #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Picha tatu kutoka kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri wote kwenye meza moja

Siku ya alhamisi December 10 2015 tulishuhudia kwa mara nyingine Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuipanga timu yake itakayoongoza jahazi la Serikali ya Tanzania kwa awamu wa tano. Tunajua kwamba kuna Wizara ambazo hazijapata Mawaziri bado lakini Rais Magufuli alituhakikishia kwamba Wizara zitakuwa 18 na Mawaziri watakuwa 19… Wale Mawaziri na […]

The post Picha tatu kutoka kwenye kikao cha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri wote kwenye meza moja appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria

Mastaa mbalimbali leo Dec 29 walikutana cinema Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya iliyopewa jina la Home Coming ambayo ndani ya movie hiyo kuna mastaa walioshiriki akiwemo Mzee Chilo na Hasheem Kambi, Bramsen, Olotu, Gordian, Munisi na wengineo. Hapa nimekusogezea baadhi picha uone jinsi tukio lilivyofanyika Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA KUMUAGA MHE. LIBERATA MULAMULA KUTOKA TEMBAPHOTO JITIRIRISHE HAPA

 Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
   Maafisa wa Ubalozi wa kudumu wa Umoja wa mataifa New York wakipata ukodak wa pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Ukiacha maafisa hao pia kulikuwa na Naibu mweka hazina wa New York Tanzania Community Dr Temba na Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana...

 

9 years ago

Habarileo

Kinondoni kuanza bomoabomoa leo

MANISPAA ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo inaanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani