NSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KWA WAKAZI WA TANGA
Meneja wa Mafao ya Matibabu( SHIB) Dk. Ali Mtulia akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali juu ya lengo la kambi ya upimaji Afya kwa wakazi wa Tanga ambayo inaendelea Mkoani Tanga kwenye Viwanja vya Tangamano.Dk. Ali Mtulia (wa tatu kushoto ) na Dk. Limu (kushoto) wakipima uzito na Urefu wa Mkazi wa Tanga ili kuweza kujua na kumshauri juu ya uwiano wa Urefu na Uzito wake.Daktari bingwa wa Siku nyingi Dk. Ali Mzige akimshauri mkazi wa Tanga juu ya afya yake na lishe bora.
BOFYA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA WAKAZI WA MANISPAA YA MOSHI
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) limeendelea na zoezi la upimaji afya kwa wananchi, Zoezi hili lililoanzia mkoani Tanga limeendelea kwenye manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Zoezi lililofanyika kwa siku tatu mfululizo limekuwa la mafanikio kwa kuweza kuwafikia watu zaidi ya 900 .
Huduma zilizo kuwa zikitolewa kwenye zoezi ni pamoja na:
• Upimaji wa Shinikizo la damu
• Upimaji wa sukari kwenye damu- Kisukari
• Upimaji wa hali ya lishe (Uwiano wa Urefu kwa uzito)
• Ushauri wa kitaalam...
11 years ago
MichuziNSSF YAENDESHA KAMBI ZA UPIMAJI WA AFYA BURE KANDA YA ZIWA
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeendesha kambi za upimaji wa Afya Bure kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza.
Zoezi hili litaanzia mkoa wa Mara, Manispaa ya Musoma kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, kuanzia...
11 years ago
MichuziNSSF YAHITIMISHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KANDA YA ZIWA
11 years ago
MichuziNSSF YAPIMA AFYA BURE KWA WAKAZI WA MKOA GEITA
11 years ago
MichuziNHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure
11 years ago
MichuziWADAU WA PSPF WACHANGAMKIA UPIMAJI AFYA BURE KWA NHIF
BOFYA HAPA KWA...
10 years ago
MichuziNHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA
10 years ago
MichuziNHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure
Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...
11 years ago
MichuziNSSF YAENDELEA NA KAMBI ZA UPIMAJI AFYA KANDA YA ZIWA
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), linaendesha kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza.
Zoezi ambalo lilianzia mkoa wa Mara na kupata mwitiko mkubwa wa wakazi wa Mara kwa kupima...