Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MELI YA MV VICTORIA-HAPA KAZI TU YAANZA SAFARI YAKE MAJARIBIO

 Meli ya MV VICTORIA iliyokuwa ikifanyiwa ukarabati leo tarehe 28 June, 2020 ikiwa imeanza majaribio baada ya zaidi ya miaka 5 ya kuharibika. Safari ya kwanza ya majaribio kuelekea Bukoba yamefanyika jijini  Mwanza.







Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mabasi ya kasi yaanza safari za majaribio

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amezindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), mradi unaotekelezwa jijini hapa.

 

9 years ago

Vijimambo

HAPA KAZI TU NA SAFARI YA MATUMAINI WAKIWA KWENYE MICHAKATO YA KUOMBA KURA

 Mkogombea Urais kupitia Ukawa akimnadi mkombea ubunge katika moja ya harakati za kuomba kura huko mikoani.
Mgombea Urais kupitia Cha Cha Mapinduzi akimnadi mgombea mchaka chaka shinja kwa nguvu zote.

 

11 years ago

Mwananchi

Meli FB Matara iliyozama Ziwa Victoria yaibuliwa

Meli ya FB Matara iliyozama Aprili 17 mwaka huu kwenye Ziwa Victoria imeibuliwa na imehifadhiwa Kisiwa cha Karumo, wilayani Sengerema mkoani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Jk utatekeleza lini ahadi ya meli Ziwa Victoria

Wiki moja iliyopita abiria 381 waliokuwa katika meli ya Mv Victoria walinusurika kufa baada ya chombo hicho kilichokuwa kikifanya safari kutoka Bukoba kwenda Mwanza kuzimika ghafla.

 

9 years ago

Dewji Blog

“Hapa Kazi tu’ Sasa Elimu bure kuanza Januari 2016, Mikopo vyuo vikuu kimeeleweka, safari za nje za vigogo stop

k1

  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

k11

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi wanusurika ajali ya meli Ziwa Victoria Mwanza

Wafanyakazi 10 wa meli ya F. Matala mali ya Kampuni ya Mkombozi Fishing Marine and Transport, wamenusurika kufa baada ya meli hiyo kuzama Ziwa Victoria usiku wa kuamkia jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Chanjo ya ebola yaanza kufanyiwa majaribio

Chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa ebola imefanyiwa majaribio kwa watu wazima 20 nchini Marekani huku Shirika la Afya Ulimwenguni likihitimisha mkutano wake wa siku mbili Geneva, Uswisi.

 

10 years ago

Mwananchi

MV Dar es Salaam yaanza majaribio, yaenda bagamoyo na kurudi Dar

Waziri wa Ujenzi Dk, John Magufuli leo amewaongoza wananchi wa jiji la Dar es Salaam kwenye majaribio ya uzinduzi wa Kivuko kipya Cha MV DAR ES SALAAM kitakachofanya safari zake kati ya Dsm na Bagamoyo.

 

10 years ago

CloudsFM

Magugu maji yasababisha kukwama kwa safari za majini ziwa victoria

Mimea ya magugu maji aina ya matende imetanda katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kiasi cha kutatiza shughuli za usafiri na usafirishaji katika kivuko hicho ambacho ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na nchi jirani.

Kutanda kwa mimea hiyo katika eneo lenye ukubwa wa takribani hekari 4 kulisababisha vivuko vya Mv Misungwi na Mv Sengerema kushindwa kutoa huduma ya usafiri na usafirishaji kwa takriban siku tatu mfululizo baada ya kukosa eneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani