Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA

Na Saidi Mkabakuli, Kyela
Kufuatia adha ya usafiri wa majini inayowakabili wakazi waishio katika fukwe za Ziwa Nyasa, Mamlaka ya Bandari Tanzania kupitia kituo chake cha Kyela ipo mbioni kujenga meli ya abiria na mizigo ili kuwahudumia wakazi hao.

Hayo yaliwekwa bayana na Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema wakati timu wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Tume ya Mipango ilipotembelea na kukagua bandari za Itungi na Kiwira zilizopo wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya.

Bw....

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI MPYA ZIWA NYASA


 Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema  (Aliyevaa tai) akiwapa maelezo  wajumbe wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo sehemu inapojengwa gati mpya (halionekani) katika Bandari ya Kiwira. Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipata fursa ya kujionea meli pekee inayotoa huduma ya kusafirisha abiria na mizigo (MV Songea) katika Ziwa Nyasa kwa upande wa Tanzania. Wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Utetezi wa Ziwa Nyasa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameweka wazi utetezi wa Tanzania katika mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa na Malawi. Akizungumza na wahariri wa habari katika semina ya ardhi Dar es Salaam jana, Profesa Tibaijuka alisema tayari Rais Jakaya Kikwete ametoa ushahidi wa mpaka huo katika Kamati ya Marais Wastaafu, Festus Mogae wa Botswana, Joachim Chisano wa Msumbiji na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini.

 

10 years ago

Mtanzania

Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama

Deo-FilikunjombeNa Mwandishi Wetu, Ludewa
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani kati ya Tanzania na Malawi yanakwenda vizuri.
Kauli ya mbunge huyo imekuja huku nchi hizo zikiwa zimefikishana mbele ya jopo la viongozi wastaafu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), chini ya mwenyekiti wake Rais Mstaafu wa Msumbuji, Joachim Chisano.
Hayo aliyasema juzi katika mkutano wa hadhara...

 

10 years ago

Mtanzania

Malawi: Hakuna mjadala Ziwa Nyasa

Rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika

Rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika

NA MWANDISHI WETU

RAIS wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Ziwa Nyasa linamilikiwa na nchi yake.

Kutokana na hali hiyo, amesema katu uongozi wake hautarajii kukaa katika meza ya majadiliano na nchi jirani ya Tanzania kuzungumzia umiliki huo.

Mutharika alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini Lilongwe kuhusu ziara yake ya hivi karibuni jijini Washington DC, Marekani ambako alikuwa akishiriki...

 

11 years ago

Habarileo

‘Suluhu mpaka Ziwa Nyasa bado’

Juma NkamiaKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebainisha kuwa hadi sasa jitihada za kusuluhisha mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi, hazijafanikiwa kutokana na ukweli kuwa katika gharama za usuluhishi, Malawi imelipia asilimia 6.6 wakati Tanzania ni asilimia 50.9.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa  Rupingu  akitoka  kuchota maji  katika  kina  kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa  kuchafuka na hivyo maji ya pembeni  kuwa na uchafu mwingi.
Wakazi wa Rupingu  Ludewa  wakitazama abiria  wakishuka katika  boti baada ya  ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari  baada ya   ziwa nyasa  kuchafuka 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti:Ziwa Nyasa linajaa mchanga na tope (2)

Katika toleo lililopita tuliona namna Ziwa Nyasa linavyoathirika kiasi cha kusababisha wavuvi kukosa samaki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bandari kudhibiti meli za uvuvi yaja

WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ipo mbioni kujenga bandari ili kuhakikisha meli zinazofanya uvuvi nchini zinakaguliwa na kufuata sheria zote za uvuvi. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa

Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive Party (DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa Malawi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani