Utafiti:Ziwa Nyasa linajaa mchanga na tope (2)
Katika toleo lililopita tuliona namna Ziwa Nyasa linavyoathirika kiasi cha kusababisha wavuvi kukosa samaki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Feb
Utetezi wa Ziwa Nyasa
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameweka wazi utetezi wa Tanzania katika mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa na Malawi. Akizungumza na wahariri wa habari katika semina ya ardhi Dar es Salaam jana, Profesa Tibaijuka alisema tayari Rais Jakaya Kikwete ametoa ushahidi wa mpaka huo katika Kamati ya Marais Wastaafu, Festus Mogae wa Botswana, Joachim Chisano wa Msumbiji na Thabo Mbeki wa Afrika Kusini.
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Malawi: Hakuna mjadala Ziwa Nyasa
Rais wa Malawi, Profesa Peter Mutharika
NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Ziwa Nyasa linamilikiwa na nchi yake.
Kutokana na hali hiyo, amesema katu uongozi wake hautarajii kukaa katika meza ya majadiliano na nchi jirani ya Tanzania kuzungumzia umiliki huo.
Mutharika alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini Lilongwe kuhusu ziara yake ya hivi karibuni jijini Washington DC, Marekani ambako alikuwa akishiriki...
11 years ago
Habarileo17 Dec
‘Suluhu mpaka Ziwa Nyasa bado’
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebainisha kuwa hadi sasa jitihada za kusuluhisha mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi, hazijafanikiwa kutokana na ukweli kuwa katika gharama za usuluhishi, Malawi imelipia asilimia 6.6 wakati Tanzania ni asilimia 50.9.
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Filikunjombe: Ziwa Nyasa lipo salama
Na Mwandishi Wetu, Ludewa
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amewataka wananchi wanaoishi mwambao wa Ziwa Nyasa kufanya shughuli zao, kwani mazungumzo ya kutafuta amani kati ya Tanzania na Malawi yanakwenda vizuri.
Kauli ya mbunge huyo imekuja huku nchi hizo zikiwa zimefikishana mbele ya jopo la viongozi wastaafu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), chini ya mwenyekiti wake Rais Mstaafu wa Msumbuji, Joachim Chisano.
Hayo aliyasema juzi katika mkutano wa hadhara...
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO
Wakazi wa Rupingu Ludewa wakitazama abiria wakishuka katika boti baada ya ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari baada ya ziwa nyasa kuchafuka
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
VijimamboMAMLAKA YA BANDARI KUJENGA MELI ZIWA NYASA
Kufuatia adha ya usafiri wa majini inayowakabili wakazi waishio katika fukwe za Ziwa Nyasa, Mamlaka ya Bandari Tanzania kupitia kituo chake cha Kyela ipo mbioni kujenga meli ya abiria na mizigo ili kuwahudumia wakazi hao.
Hayo yaliwekwa bayana na Mkuu wa Bandari ya Kyela, Bw. Percival Ntetema wakati timu wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Tume ya Mipango ilipotembelea na kukagua bandari za Itungi na Kiwira zilizopo wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya.
Bw....
11 years ago
Mwananchi07 Aug
UTALII: Bayi sasa inapamba fukwe za Ziwa Nyasa
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa
10 years ago
Vijimambo10 Dec
Tanzania yasubiri majibu ya Chissano usuluhishi Ziwa Nyasa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani), amesema, serikali inasubiri majibu kutoka kwa kiongozi wa jopo la usuluhishi wa mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa, Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chissano.
Chissano kupitia Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) ndiye anayeongoza jopo la marais wastaafu wa Sadc kusukluhisha mgogoro huo wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi.
Membe aliiambia...