Mnyika achukua mikoba ya Zitto
Wakati Baraza Kuu la Chadema likimthibitisha kwa mara ya pili, Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wake, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amekabidhiwa rasmi mikoba iliyoachwa na Zitto Kabwe katika nafasi ya naibu katibu mkuu wa chama hicho Bara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
GIGGS ACHUKUA MIKOBA YA MOYES
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Mayanga achukua mikoba ya Makatta Prisons
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Guus Hiddink achukua mikoba ya Mourinho Chelsea
Kocha mpya wa Chelsea, Guus Hiddink.
Aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu huu.
Hiddink ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kutimuliwa Alhamisi iliyopita.
“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haipo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa.
“Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ea4x8ggFHeKgtJZx2mwfY6hwxRM2PpJGygZMiR1izExEhq-F3mG2RVmE8Yj7Bx*C0LcQehAVe-zdgWQtlDQQc2YBs9G-X-78/dunga.jpg?width=650)
DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL
10 years ago
Habarileo17 Sep
Mnyika amrithi Zitto Chadema
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemteua tena Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani kwa sasa nchini. Hii ina maana kwamba Dk Slaa mwenye umri wa miaka 65, atashika wadhifa huo hadi mwaka 2019. Alianza kushika nafasi hiyo mwaka 2002, akitoka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, nafasi aliyoishika kuanzia mwaka 1998.
10 years ago
Michuzi16 Sep
MHE JOHN MNYIKA AMRITHI ZITTO KABWE CHADEMA
MATOKEOKATIBU MKUU --DK WILLBROD SLAA--NAIBU KATIBU MKUU BARA---JOHN MNYIKANAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR--SALUM MWALIMViongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-Th3OZYT9rWE/VWDFwQ_66WI/AAAAAAAABqc/TrQnJFr3wmI/s72-c/Zitto--30march2015.jpg)
ZITTO KABWE ACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-Th3OZYT9rWE/VWDFwQ_66WI/AAAAAAAABqc/TrQnJFr3wmI/s400/Zitto--30march2015.jpg)
Safari ya mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe kurejea bungeni imeanza rasmi baada ya kiongozi huyo wa chama kipya cha ACT-Wazalendo kuchukua fomu za kuwania kuongoza jimbo la Kigoma Mjini.
Uamuzi huo wa kulitaka jimbo hilo unathibitisha kauli zake ambazo amekuwa akizitoa kwa muda mrefu kuwa hatarudi tena Kigoma Kaskazini kwa kuwa alishawatimizia kila kitu na haoni sababu za kuwawakilisha tena wananchi wa eneo hilo.
Kauli yake iliibua ubashiri kuwa Zitto...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q3yrwKsL4ZI/XkvtKHxvXtI/AAAAAAALd8Y/E-18OpAUTvkp-eRz9yfPRPEKSMiJqr4lgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screen-Shot-2020-02-18-at-4.16.39-AM-660x400.png)
ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO
![](https://1.bp.blogspot.com/-q3yrwKsL4ZI/XkvtKHxvXtI/AAAAAAALd8Y/E-18OpAUTvkp-eRz9yfPRPEKSMiJqr4lgCLcBGAsYHQ/s640/Screen-Shot-2020-02-18-at-4.16.39-AM-660x400.png)
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuchukua fomu hiyo muda mfupi baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...
10 years ago
Habarileo03 Feb
JK akabidhi mikoba ya mazingira
RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi Uratibu wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika Kuhusu Mazingira (CAHOSCC) kwa Rais wa Misri, Jenerali Abdel Fatteh El Sisi kwa kuwatahadharisha viongozi wenzake wa Afrika kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa sekta muhimu ya kilimo barani Afrika.