Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GIGGS ACHUKUA MIKOBA YA MOYES

Kocha wa Man Utd, Ryan Giggs kwa sasa. Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United, Ryan Giggs, amekabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mnyika achukua mikoba ya Zitto

Wakati Baraza Kuu la Chadema likimthibitisha kwa mara ya pili, Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wake, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amekabidhiwa rasmi mikoba iliyoachwa na Zitto Kabwe katika nafasi ya naibu katibu mkuu wa chama hicho Bara.

 

10 years ago

Mwananchi

Mayanga achukua mikoba ya Makatta Prisons

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga amesaini mkataba wa kuifundisha Tanzania Prisons baada ya kocha aliyeiokoa timu kuteremka daraja, Mbwana Makata kujiunga na Kagera Sugar.

 

11 years ago

GPL

DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL

Kocha mpya wa Brazil, Dunga. Mchezaji wa zamani wa Brazil, Carlos Caetano Bledorn Verri 'Dunga', amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha Brazil baada ya kocha Luiz Felipe Scolari kujiuzulu. Dunga amepewa kikosi hicho kilichoboronga katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 iliyofanyika nyumbani kwao huku timu hiyo ikiambulia nafasi ya nne. Kikosi hicho pia kilipata dhahama baada ya kipigo cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe...

 

9 years ago

Global Publishers

Guus Hiddink achukua mikoba ya Mourinho Chelsea

Football - Tottenham Hotspur v Chelsea Barclays Premier League - White Hart Lane - 21/3/09 Chelsea manager Guus Hiddink Mandatory Credit: Action Images / John Sibley Livepic NO ONLINE/INTERNET USE WITHOUT A LICENCE FROM THE FOOTBALL DATA CO LTD. FOR LICENCE ENQUIRIES PLEASE TELEPHONE +44 (0) 207 864 9000.

Kocha mpya wa Chelsea, Guus Hiddink.

Aliyekuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Uholanzi, Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kaimu meneja wa Chelsea hadi mwisho wa msimu huu.

Hiddink ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kutimuliwa Alhamisi iliyopita.

“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haipo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa.

“Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ryan Giggs azungumzia Man U

Meneja huyo wa muda Ryan Giggs amesema siku chache zilizopita zimekuwa kama fujo tupu kwa klabu hiyo na akaahidi kuwafurahisha mashabiki.

 

11 years ago

Mwananchi

Giggs hatihati Man United

>Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs amesema ataacha kuifundisha Manchester United kwa ajili ya kwenda kupata zaidi mafunzo ya ukocha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Giggs asema hasikitishwi kamwe

Kaimu mkufunzi wa timu ya Manchester United nchini Uingereza,Ryan Giggs amesema kuwa hasikitishwi na hatua ya kumtafuta kocha mpya

 

11 years ago

BBCSwahili

Giggs ;Sikuwa tayari kuwa mkufunzi

Ryan Giggs amesema hakuwa tayari kuwa mkufunzi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Msife moyo Man U itarejea: Giggs

Kaimu kocha wa Manchester United Ryan Giggs amewarai mashabiki wa klabu hiyo maarufu kuwa wasife moyo ushindi utarejea Old Trafford katika siku za usoni.

Kigogo huyo wa Manchester United aliwaasa mashabiki punde baada ya kuingoza Manchester united kuilaza Hull city mabao 3-1 katika mechi yao ya mwisho ya nyumbani msimu huu wa ligi kuu ya premia ya Uingereza.

Hiyo ndiyo iliyokuwa mechi yake ya mwisho baada ya kushiriki mechi 963 akivalia jezi la Man united.

Kaimu kocha huyo mwnye umri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani