Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK akabidhi mikoba ya mazingira

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amekabidhi Uratibu wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika Kuhusu Mazingira (CAHOSCC) kwa Rais wa Misri, Jenerali Abdel Fatteh El Sisi kwa kuwatahadharisha viongozi wenzake wa Afrika kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa sekta muhimu ya kilimo barani Afrika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akikabidhi funguo ya Pikipiki kwa mmoja wa Makatibu Kata katika Wilaya ya Kibaha Vijijini,wakati wa shunguli ya kukabidhi Pikipiki 13 kwa Makatibu Kata na Baiskeli 86 kwa Wenyeviti wa Matawi ya CCM yaliopo kwenye Wilaya hiyo,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini,Mh. Hamoud Abuu Jumaa (kulia).  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akikabidhi sehemu ya Baiskeli 86 kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika achukua mikoba ya Zitto

Wakati Baraza Kuu la Chadema likimthibitisha kwa mara ya pili, Dk Willibrod Slaa kuwa Katibu Mkuu wake, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amekabidhiwa rasmi mikoba iliyoachwa na Zitto Kabwe katika nafasi ya naibu katibu mkuu wa chama hicho Bara.

 

9 years ago

Mwananchi

Kimwaga akabidhiwa mikoba ya Kiiza

Mshambuliaji tegemeo wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’ atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza majeraha, lakini kocha Dylan Kerr na kiungo Justice Majabvi wamemtaja kinda, Joseph Kimwaga kama mtu mwenye uwezo wa kuziba pengo hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Mwambusi arithi mikoba ya Mkwasa

KLABU ya Yanga jana ilisaini rasmi mkataba wa mwaka mmoja na nusu na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van der Pluijm.

 

9 years ago

Mwananchi

Pinda amkabidhi mikoba Majaliwa

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa huku akimtaka kufuatilia kwa karibu maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.

 

10 years ago

Mtanzania

Tasilima abeba mikoba ya Lipumba

Na Mwandishi Wetu

BARAZA  Kuu la Chama cha Wananchi (CUF),limeunda kamati ya watu watatu ambao wataongoza chama hicho kwa muda wa miezi sita.

Akitoa taarifa ya maazimio ya baraza hilo lililokutana mjini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa CUF, Abdul Kambaya, alisema baraza hilo litaongozwa na mwenyekiti wa muda, Twaha Tasilima.

Alisema Tasilima atasaidiwa na wajumbe wawili ambao ni Aboubakar Khamis Bakari na Severine Mwaijage.

“Kamati hii ndiyo itaongoza chama kwa muda wa miezi sita, kabla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani