Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimwaga akabidhiwa mikoba ya Kiiza

Mshambuliaji tegemeo wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’ atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili akiuguza majeraha, lakini kocha Dylan Kerr na kiungo Justice Majabvi wamemtaja kinda, Joseph Kimwaga kama mtu mwenye uwezo wa kuziba pengo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Matola akabidhiwa mikoba ya Loga Simba

Kuanzia Kushoto: Kocha Msaidizi Seleman Matola, Tambwe, Amri Kiemba, Joseph Owino, Jonas Mkude, Musoti. Mbele Kushoto: Singano, Awadhi, Haruna Chanongo, Ivo Mapunda, Rashid Baba Ubaya ,Haruna Shamte. Na Martha Mboma
KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha timu hiyo mpaka kocha mkuu, Zdravko Logarusic, atakapowasili nchini kesho akitokea kwao, Croatia. Simba inatarajiwa kuanza mazoezi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MHOLANZI AKABIDHIWA MIKOBA YA KUINOA TAIFA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza rasmi Mart Nooij kutoka Uholanzi kuwa kocha mkuu mpya wa timu ya Taifa (Taifa Stars).
Rais wa TFF, Jamal Malinzi amemtambulisha kocha huyo leo (Aprili 26 mwaka huu) kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Akiwa amefuatana na Makamu wake Wallace Karia, amesema anafurahi kumtangaza Nooij na ana matarajio kuwa Tanzania itanufaika na uzoefu wake mkubwa wa ukocha, hasa katika bara la...

 

9 years ago

Global Publishers

Breaking news: Benitez atimuliwa Madrid… Mikoba yake akabidhiwa Zidane

zizuSafari ya Real Madrid na kocha Rafa Benitez imefikia ukingoni baada ya kutimuliwa leo. Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu. Real Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu  na ikiwa ni siku moja tu baada ya sale ya mabao 2-2 dhidi ya  Valencia inayonolewa na Kocha Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United.

 

9 years ago

Michuzi

HAMIS KIIZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE NA WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

 Mchezaji wa Simba Hamis Kiiza(kushoto)akiwaonesha mashabiki wa timu yake  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- aliyokadhiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)ambao ni wadhamini wakuu wa lihi hiyo kwa kuibuka  mchezaji bora wa ligi wa mwezi septemba wakati wa mechi ya timu hiyo na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Meneja biashara wa TFF,Peter Simon na Ofisa Udhamini na...

 

9 years ago

Mwananchi

Balozi Mahiga akabidhiwa mikoba ya Balozi Mwapachu

Balozi Augustine Mahiga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), kuziba nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Balozi Juma Mwapachu.     

 

9 years ago

Habarileo

Kimwaga ataka kuisaidia Simba

KIUNGO Joseph Kimwaga aliyejiunga na Simba kwa mkopo akitokea Azam FC, amekiri kuwa alikata tamaa ya kucheza mpira baada ya mambo kuwa magumu katika klabu yake ya awali.

 

11 years ago

Mwananchi

Kimwaga apata mkosi mwingine

Winga chipukizi wa Azam FC na Taifa Stars, Joseph Kimwaga ameumia tena goti baada ya juzi kuteleza na kuanguka wakati akitoka bafuni kuoga.

 

9 years ago

Mwananchi

Kimwaga aumia rohoni kuikosa Stars

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Joseph Kimwaga ametoa la moyoni akisema kwamba kama kuna jambo linalomuumiza kichwa katika kazi yake ni kukosa kujumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars na badala yake anageuka shabiki wa kutazama wanachokifanya wenzake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani