MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA
![](http://2.bp.blogspot.com/-l4urS6eddfw/U5DYZg317hI/AAAAAAAFn8c/crLGulvrkZE/s72-c/mazingira+-7.jpg)
Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.
Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6fPBNXP2MF8/XlvR6idxkCI/AAAAAAALgOI/DcgzIpFxSGoPd-ObIgau10U_445_QI8LwCLcBGAsYHQ/s72-c/3-1-768x512.jpg)
WAWEKEZAJI WANAPASWA KUTIMIZA MATAKWA YA SHERIA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA-WAZIRI ZUNGU
![](https://1.bp.blogspot.com/-6fPBNXP2MF8/XlvR6idxkCI/AAAAAAALgOI/DcgzIpFxSGoPd-ObIgau10U_445_QI8LwCLcBGAsYHQ/s640/3-1-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/4-1.jpg)
10 years ago
VijimamboMAREKANI YATOA DOLA BILIONI 30 KWA AJILI YA KULINDA MAZINGIRA, KUKUZA UHIFADHI NA UTALII
Serikali iya Marekani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-W1k4MJH2WZA/XmoglY1UcXI/AAAAAAALivA/00b2PAyKvyQoA1fODI77njBqSR82TUU0ACLcBGAsYHQ/s72-c/4aac1299-751c-415f-95fc-6b3099c9b322.jpg)
CHANGAMOTO ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA KUJADILIWA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI
Charles James, Michuzi TV
TANZANIA itaungana na Mataifa mengine duniani kuadhimisha wiki ya maji ambayo itaanza Machi 16 hadi 22 mwaka huu huku kauli mbiu ikiwa ni " Maji na mabadiliko ya tabia nchi, uhakika wa maji salama kwa wote".
Wiki ya maji itaenda sambamba na siku ya maji ambapo ndio itakua kilele cha maadhimisho hayo ambayo yalianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1993 kupitia azimio na.47/193 ililofikiwa mwaka 1992 na Umoja wa Mataifa.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dodoma,...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Kandoro: Viongozi wanakwamisha uhifadhi mazingira
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amesema kampeni ya uhifadhi wa mazingira inakuwa ngumu kufikia malengo kutoka na baadhi ya viongozi waliyopewa dhamana ya kusimamia kuwa vinara wa kuvunja...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Dk Bilal asihi uchangiaji uhifadhi mazingira nchini
11 years ago
MichuziWASTAAFU WAHIMIZWA KUUDUMISHA MUUNGANO NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akizungumza katika hafla ya kuwaaga wastaafu wapatao 12 wa kada ya maafisa katika ofisi hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.
Mheshimiwa Samia alisema wastaafu hao...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira
Meneja Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).
Mkurugenzi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOoi_UKqEp8/Xto7SMrIQ_I/AAAAAAALssk/N9TTomNCqV4IguNOT9dfFMfqGvg2KsrsgCLcBGAsYHQ/s72-c/SILAYO.jpg)
KAMISHNA WA UHIFADHI WA MISITU TANZANIA PROFESA SILAYO AWAKUMBUSHA WATANZANIA KUTUNZA MAZINGIRA
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOoi_UKqEp8/Xto7SMrIQ_I/AAAAAAALssk/N9TTomNCqV4IguNOT9dfFMfqGvg2KsrsgCLcBGAsYHQ/s400/SILAYO.jpg)
KAMISHNA wa Uhifadhi wa Misitu Tanzania kutoka Wakala wa Huduma za Misitu nchini(TFS) Profesa Dos Santos Silayo amewakumbusha Watanzania wote kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kutunza mazingira ili yaweze kuendelea kutoa huduma zake kama ambavyo tunatarajia ikiwemo ya hewa safi na kuifanya Dunia kusa mahali salama pa kuishi.
Pro.Silayo ameyasema hayo leo wakati akizungumzia Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila Juni 5 ya kila mwaka ambapo...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...