Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal asihi uchangiaji uhifadhi mazingira nchini

Zaidi ya Sh90 milioni zimechangwa jijini hapa kwa ajili ya kusaidia hifadhi wa mazingira katika misitu ya milima ya Tao la Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania

unnamed

Balozi  wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT  wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...

 

10 years ago

Michuzi

Watu wa marekani watoa dola Bilioni 30 kwa ajili ya Kulinda mazingira, Kukuza uhifadhi na Utalii nchini

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola Bilioni 30 kwa ajili ya Kulinda mazingira, Kukuza uhifadhi na Utalii nchini. Hafla ya kutiliana saini ilifanyika jana, Seronela mkoani Arusha ambapo waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress walisaini makubaliano ya dola 2milioni kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya ujangili n anyingine milioni 14.5 kwa ajili ya uhifadhi.  Balozi huyo wa Marekani Mark Childress, alimwelezea Nyalandu, kuwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama Bilal asihi Watanzania kujitoa

>Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Asha Bilal amesema, anasikitishwa na tabia za baadhi ya Watanzania hususan wenye uwezo wa kifedha kwa kutojitolea katika kuisaidia jamii inayoendelea kuishi kwenye hali ngumu za kimaisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama Bilal ahimiza uchangiaji

JAMII imetakiwa kujitolea kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kusaidia watu wanaokumbwa na changamoto za kimaisha ili kupunguza umaskini nchini. Rai hiyo ilitolewa jana na mke wa Makamu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kandoro: Viongozi wanakwamisha uhifadhi mazingira

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amesema kampeni ya uhifadhi wa mazingira inakuwa ngumu kufikia malengo kutoka na baadhi ya viongozi waliyopewa dhamana ya kusimamia kuwa vinara wa kuvunja...

 

11 years ago

Michuzi

WASTAAFU WAHIMIZWA KUUDUMISHA MUUNGANO NA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Watumishi waliostaafu katika Ofisi ya Makamu wa Rais wametakiwa kuendelea na moyo wa kuudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na uhifadhi wa mazingira.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano),  Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai hiyo jana wakati alipokuwa akizungumza katika hafla ya kuwaaga wastaafu wapatao 12 wa kada ya maafisa katika ofisi hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam.
Mheshimiwa Samia alisema wastaafu hao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira

001

Meneja  Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).

002

Mkurugenzi wa  Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...

 

5 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI WANAPASWA KUTIMIZA MATAKWA YA SHERIA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA-WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Hinduka Kamalamo wa kiwanda cha cha kutengeneza mifuko mbadala aina ya ‘non woven’ cha Jin Yuan Investment kilichopo Nyakato wilayani Ilemela mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza alipofanya ziara ya kusikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani