WAWEKEZAJI WANAPASWA KUTIMIZA MATAKWA YA SHERIA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA-WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Hinduka Kamalamo wa kiwanda cha cha kutengeneza mifuko mbadala aina ya ‘non woven’ cha Jin Yuan Investment kilichopo Nyakato wilayani Ilemela mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza alipofanya ziara ya kusikiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA



10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
‘Acheni kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za mazingira’
MAOFISA Mazingira katika Wilaya za mikoa ya Iringa na Mbeya wametakiwa kuacha kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za uhifadhi wa mazingira. Kauli hiyo, imetolewa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya,...
5 years ago
Michuzi
DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu

5 years ago
MichuziTAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO NA MAZINGIRA JUU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi,Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA


5 years ago
Michuzi
WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI.

Waziriwa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwaonyesha wanahabari (Hawapo pichani) bomba la Gesi ya Songas liloangukiwa na mawe kutokana na athari za uchimbaji mchanga katika eneo hilo. Picha Charles Kombe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu (Kulia) akiambatana na Meya wa Manispaa ya Ilala Omari Kumbilamoto (wa pili kushoto) askari wa Ulinzi na viongozi wa ngazi mbalimbali za kiserikali alipofanya ziara...
5 years ago
MichuziWAZIRI ZUNGU ATOA ONYO KALI KWA WANAOKIKA SHERIA NA KUTOA MAELEKEZO KWA NEMC
11 years ago
Dewji Blog23 Oct
Waziri Ummy Mwalimu ataka halmashauri ya Kinondoni kusimamia sheria za Mazingira
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
Hussein Makame-MAELEZO
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Kandoro: Viongozi wanakwamisha uhifadhi mazingira
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro, amesema kampeni ya uhifadhi wa mazingira inakuwa ngumu kufikia malengo kutoka na baadhi ya viongozi waliyopewa dhamana ya kusimamia kuwa vinara wa kuvunja...