Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Acheni kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za mazingira’

MAOFISA Mazingira katika Wilaya za mikoa ya Iringa na Mbeya wametakiwa kuacha kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za uhifadhi wa mazingira. Kauli hiyo, imetolewa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI WANAPASWA KUTIMIZA MATAKWA YA SHERIA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA-WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Hinduka Kamalamo wa kiwanda cha cha kutengeneza mifuko mbadala aina ya ‘non woven’ cha Jin Yuan Investment kilichopo Nyakato wilayani Ilemela mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza alipofanya ziara ya kusikiliza...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK: Acheni woga wa kusimamia sheria

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...

 

10 years ago

Habarileo

Ridhiwani ataka wawekezaji kufuata sheria na taratibu

Ridhiwani KikweteWAWEKEZAJI kwenye kijiji cha Changarikwa wametakiwa kufuata taratibu za kisheria ili kuondoa migogoro baina yao na wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka sheria ziwabane waharibifu wa mazingira

SERIKALI imetakiwa kuweka sheria kali na kuzitumia dhidi ya wote wanaoharibu mazingira na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ambayo yana athari kubwa kwa binadamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

10 years ago

Michuzi

Makampuni, Wachimbaji madini watakiwa kuzingatia Sheria za Mazingira

Na Asteria Muhozya, Tanga.
Kampuni za uchimbaji madini, utafutaji mafuta na gesi wakiwemo wachimbaji wadogo nchini, wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira wakati wanapotekeleza shughuli zao, ili kuwezesha rasilimali zinazopatikana  ardhini ziweze kuwa endelevu  kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Rai hiyo imetolewa na   na Mhandisi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ephraim Mushi wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yanayoendelea...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Ummy Mwalimu ataka halmashauri ya Kinondoni kusimamia sheria za Mazingira

1

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.

Hussein Makame-MAELEZO

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani